Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

Sasa ulazimishe kuishi na mtu asiyekutaka kwani yeye ni Oxygen?
 
Watu ni wavumilivu sana kama bado kuna upendo kati yenu. Tendo la ndoa linapotumiwa kama fimbo ya kumwadhibu mwenzio, ujue sababu ya ndoa hiyo imeshapoteza maana, na hataweza kuvumilia. Kinachofuata hapo ni kuachana tu.
 
Jichanganye ucharangwe mapanga au uwekewe sumu ufe kabisa, "huruma si malezi" shtuka mkuu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Umeona eeh? Mimi mwenyewe shahidi, mawazo niliyokuwa nayo kwenye 20s ni tofauti kabisa na niliyonayo sasa hivi
Na mabadiliko sio dhambi, kama unampenda mtu na amebadilika na hayo mabadiliko kama unaona huwezi kuendana nayo, maturity na afya njema ya akili ni kuachana naye kwa upendo. Letting go for someone you love is pure maturity. Kibaya ni divorce kwa visasi na chuki.
 
Dogo kua uyaone

Nb: sio kila mwanaume kaka yako
 
Nilipigwa divorce la mahakamani nikiwa nina 33 miaka tu.. 🥹🥹🥹
 
Ni kweli shida huanzia kwa wanaume

Mwanaume mwenye utimamu hata kama anapiga nje atajitahidi siku zote kumuheshimu mke na kuhakikisha hajui mambo hayo

Hata sisi tunachepuka mara moja moja kwa tahadhari sana , kwanza unawapima HIV na Hepatitis kisha una enjoy nae kiana but unamuweka wazi I am married . Ni kweli wapo wanawake wanavutia snaa but family comes first

Kwa gharama yoyote hakikisha wife ha sniff mambo kama hayo . Yaani hata kama nipo juu ya kifua mke wangu akinipigia simu njoo home mara moja

Muda huo huo navaa nguo na kuondoka, mwanamke alienizalia watoto, kuwakazania kwenye elimu na maadili nitasujudu kwake . Hakuna kitu muhimu kama kuwa nq familia bora
Mwisho wa siku hata uzeeni watu hujivunia familia bora kama mzee lowasa vile
Mwanamke ndio anachances kubwa za kufanya your family kuwa bora au ya hovyo , watoto wawe bora au wa hovyo

Mambo ya kuwa na watoto wengi na kila mtoto Ana mama yake sio poa kwa stability ya familia bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…