World light
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 382
- 352
Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita, Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM
Kuelekea 2025 - Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030
Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake