Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.

Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita, Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.

Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.

Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?

Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM

Kuelekea 2025 - Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake
Ujinga tu. Hii nchi imelogwa na nani?
Unaweza utashangaa wewe ni mtu tegemek ndani ya ccm ndo unaandika huu utumbo

Tuahimize kuandika katiba mpya tuache kubahatisha
 
Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.

Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita, Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.

Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.

Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?

Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM

Kuelekea 2025 - Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake
Comments reserved
 
Pumba tupu. Bila kutubu sijui hata kama atakuwepo. Msidanganywe na umri vijana tendeni wema na mkikosea tubuni tena kama ni kitu cha jamii tubuni waziwazi bila hivyo hakuna kitu
 
Back
Top Bottom