Wanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Pia soma:
Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.