Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwadillah maayohh!!!Bashungwa naona kalipa watu wampigie kampein humu.All in all Rais baada ya Samia lazima awe Ngosha.
ni kichaa. Kigoma na Tabora sio kanda ya ziwa.Leo ndo nimejua Kigoma na Tabora ni kanda ya ziwa
Ndio mwenyewe. I don't know his education but he is humble, down to earth person.Siye.
Huenda ikawa ni baba alaska, ni mnyenyekevu, ana misimamo lakini ni muelewa/msikivu.
Lazima awe mchumi hata hivyoMsakila Kabende - mchumi?
Kanda nyingine vp? hazistahili kutoa Rais pia? acheni ubaguzi washenzi nyie!Wanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM
Kuelekea 2025 - Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030
Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake
David or innoWanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM
Kuelekea 2025 - Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030
Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake
Alikataa nini?Hana hisitoria ya kukataa hongo ni huyu waujenzi kabla ujenzi alipelekwa wizara ya ulinzi
Hayati JPM alionyesha udhaifu wetu kanda ya ziwa. tuna ile superiority complex kujiona tuna haki sana ya kufanya maamuzi ya aina fulani kumbe tunaumiza baadhi ya wapiga kura.Hakuna mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi hii
Bashe asingekuwa waziri wa kilimo, huko SA wale wahindi wasingekuwa sehemu ya wapigania uhuru waliomchangia Mandela pesa nyingi katika harakati za ANC.Asili ya mtu haiwez kuwa kikwazo sana endapo akifanyiwa uchunguzi kibinadam na kugundulika kwamba hana connection na outsiders na ni mzalendo. Vinginevyo obama asingekalia kiti, vinginevyo waziri mkuu wa uingereza mwenye asili ya kihindi asingile kalia kiti. Vinginevyo hapo nchini mwako wenye asili ya uarabuni au usomali wote wasingekalia viti
Ukweli nyie watu wa kanda ya ziwa ni watawala (administrators) wazuri si viongozi (leadership) wazuri. Mtawala husimamia Sheria. Sisi wa mwambao Unafiki unatufanya tuwe viongozi wanaopendwa. Ila maendeleo hayahitaji kiongozi bali mtawalaHayati JPM alionyesha udhaifu wetu kanda ya ziwa. tuna ile superiority complex kujiona tuna haki sana ya kufanya maamuzi ya aina fulani kumbe tunaumiza baadhi ya wapiga kura.
Humility ni sifuri kabisa. Mfano hai ni mbunge Luhaga Mpina anavyohangaishana na serikali nzima ya Samia mara kwa mara. Hana uwezo wa kujishusha na hivyo haoni makosa yaliyopo katika matendo yake yote.
Tunaweza sana uwaziri mkuu mfano Biteko lakini urais una madaraka makubwa sana, ni rahisi kuumiza hao hao unaodhani unawafanyia wema katika maamuzi yako.
Uko sahihi kabisaUkweli nyie watu wa kanda ya ziwa ni watawala (administrators) wazuri si viongozi (leadership) wazuri. Mtawala husimamia Sheria. Sisi wa mwambao Unafiki unatufanya tuwe viongozi wanaopendwa. Ila maendeleo hayahitaji kiongozi bali mtawala
Biteko awe waziri mkuu..?unaongea kutoka kichwani..au tumbo ndio linaongea..Hayati JPM alionyesha udhaifu wetu kanda ya ziwa. tuna ile superiority complex kujiona tuna haki sana ya kufanya maamuzi ya aina fulani kumbe tunaumiza baadhi ya wapiga kura.
Humility ni sifuri kabisa. Mfano hai ni mbunge Luhaga Mpina anavyohangaishana na serikali nzima ya Samia mara kwa mara. Hana uwezo wa kujishusha na hivyo haoni makosa yaliyopo katika matendo yake yote.
Tunaweza sana uwaziri mkuu mfano Biteko lakini urais una madaraka makubwa sana, ni rahisi kuumiza hao hao unaodhani unawafanyia wema katika maamuzi yako.
Amka toka usingizini.Hii nchi hamfikirii tena kama Kuna uchaguzi ulio huru na haki
Badala yake mnajitengenezea viongozi toka chama Tawala pekee, utadhani hii nchi ni ya mfumo wa chama kimoja😎
Swala la Samia kuendelea 2025 halina mjadalaKwanza kuna uhakika gani Samia ataendelea 2025?
Yeye mwenyewe anafahamu hataendelea beyond 2025..acheni kutaka kuleta laana za bure hapa! Kiongozi anapatikana kutokana na mahitaji ya wakati..mijadala mingine ni kujadili upumbavu tu! Kuna mtu dunia hii ana uhakika kufika 2025?? Acha hiyo 2030..wakati mwingine ni kama mtu kalewa pombe anakuja jf kuanzisha mada km hii..
Kikwete ni mchumi. Mchumi aliyekulia kwenye siasa toka tumboni mwa mama yake.Nyerere Mwalimu
Mwinyi Mwalimu
Kikwete Mwalimu wa Siasa
Shujaa Magufuli Mwalimu wa kemia
2030 Mwalimu tena jamani?🐼
Uko sahihi kabisa Mzee Kikwete ni mchumi mbobevuKikwete ni mchumi. Mchumi aliyekulia kwenye siasa toka tumboni mwa mama yake.
Hujui usemalo, hizo ni wishes zako..lkn hata yeye Samia anajua alipo hapo ni kwa bahati ya Mwenyezi Mungu kuwa Makamu na Rais ndani ya miaka 10 ana nini cha kuongeza? Katika miaka 10 kawaida tunabadilisha Rais na Makamu..miaka 10 amebahatika kuwa Makamu na Rais, sasa aendelee kwenda wapi?Swala la Samia kuendelea 2025 halina mjadala