Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

hivi alivyopotea asijekuwa ameenda kuzimu kupigwa, hapo anatokota kwenye sufuria, akirudi hapo kila mtu anampenda.
Then humjui Yesu vizuri. Ukimjua utajua hata upikwe vipi bado ana turufu mkononi mwake.
 
Wanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.

Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.

Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.

Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?

Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM

Kuelekea 2025 - Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake
Kafulila ni sawa
 
Mnampigia kampeni kafulila lakini hakuna kitu
 
Then humjui Yesu vizuri. Ukimjua utajua hata upikwe vipi bado ana turufu mkononi mwake.
of course sijasema mtu akipikwa ndio atazidi mapenzi ya Mungu, that will never happen. ila hilo haliondoi ukweli kwamba hao mnaofikiri wanawaongoza hata hawana Mungu na hawamtegemei Mungu, Mungu tu anatulinda na kuwatumia hivyo hivyo.
 
Ila asupopenda ukikalie kiti hata ufanye tambiko na adui mkuu mwenyewe bado hutakalia. Referendum ipo mikononi mwake
 
Ila asupopenda ukikalie kiti hata ufanye tambiko na adui mkuu mwenyewe bado hutakalia. Referendum ipo mikononi mwake
ni kama tu kuna watoto wako waovu na wavuta bange kadhaa, hata Mungu akiruhusu ni kwamba anatuonea huruma sisi raia, kwamba basi tutawaliwe na kilaza bora kuliko vingine, ila wote sio watu wa Mungu na hawamwabudu Mungu, wamejaa uchawi na ukatili.
 
Hutaki Ngosha ila unataka kura za kina Ngosha!
 
Naona kuna vita ya chini chini ndani ya Chama pendwa! Kila kundi lina mtu wake!
 
Namuona ;
Doto ( mjita bilashaka), Pole pole( Muha)
Tulia ( japo si kwa umuhimu)
 
Tokea 2022,makala ziko nyingi sana za watu "kuandaliwa". Stupid propoaganda. We are living in the now. Who the hell even knows what is going to happen after 6 years
 
Kafulila katajwa wapi hapo mkuu,

Stress za nini?

Mimi navutiwa na Uzalendo wa Kafulila Kwa matumizi yangu binafsi tatizo liko wapi?
Unajuwa maana ya uzalendo lakini? Mtu anafanya kazi na analipwa mshahara halafu unaniambia kwa kutimiza majukumu yake ana uzalendo
 
Back
Top Bottom