MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Ramuli chonganishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wa oman yeye ni sawa?Shida sio mtanzania halisi, ni watutsi pure kabisa
Tz kwenye inshu ya kuzingatia uraia tuko nyuma sana,wageni wataingia nchini kwetu na watatutawala watakavyo,waking ni sawa kumpa wampe tu...Ila wa oman yeye ni sawa?
Bashungwa ni Rwanda punguza shobo!Wanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Ramli ramli ramliWanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Asili ya mtu haiwez kuwa kikwazo sana endapo akifanyiwa uchunguzi kibinadam na kugundulika kwamba hana connection na outsiders na ni mzalendo. Vinginevyo obama asingekalia kiti, vinginevyo waziri mkuu wa uingereza mwenye asili ya kihindi asingile kalia kiti. Vinginevyo hapo nchini mwako wenye asili ya uarabuni au usomali wote wasingekalia vitiTz kwenye inshu ya kuzingatia uraia tuko nyuma sana,wageni wataingia nchini kwetu na watatutawala watakavyo,waking ni sawa kumpa wampe tu...
Chama ni mwenyekiti. Magufuli alimshinda vp Lowasa ndani ya chama?Jamaa mnampigia sana promo lakini ndani ya chama hana pa kupitia kuchukua hiyo nafasi
Kama Mwenyezi-Mungu akipanga, hata mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi ya Tanzania.Hakuna mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi hii
Mpango wa TISS ni Kafulila Bashungwa sio raia wa TanzaniaWanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Nina uhakika na hili ingwa mimi siyo Mungu. Kumbuka Nyerere alisemaje kuhusu kauli yangu.Kama Mwenyezi-Mungu akipanga, hata mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi ya Tanzania.
Kwani wewe ni nani mpaka uzuie mtu kutoka Kagera kuwa rais !!! Elewa kuwa wewe sio Mungu .
Hata Nyerere sio Mungu . Labda tu alikuwa anawachukia watu waliobarikiwa .Nina uhakika na hili ingwa mimi siyo Mungu. Kumbuka Nyerere alisemaje kuhusu kauli yangu.
Najua inakuuma ila kwa Tanzania yetu, huo ndio ukweli. Poleni SanaHata Nyerere sio Mungu . Labda tu alikuwa anawachukia watu waliobarikiwa .
Wewe ndio unapaswa upewe pole kwa kumchukulia Nyerere kama Mungu wako maana amekufanya kuwa na fikra mgando .Najua inakuuma ila kwa Tanzania yetu, huo ndio ukweli. Poleni Sana
Sio mwingine Bali ni Kafulila!Wanasema kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi kutoka Kanda ya ziwa lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita,Kagera au Tabora ila kamwe asiwe ngosha.
Pia soma: Makonda anaandaliwa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana hapa nchini?
Makundi yote yanaonesha imani juu yake kwakuwa hana makundi lakini ni mtu mweledi sana na Uzalendo wake ni unquestionable kwani anarekodi za kukataa hongo kubwa kubwa pia anahofu kubwa ya Mungu na maisha yake ni ya kawaida kama aliyoyaishi Mwl. Nyerere.
Kafulila ni mjinga ila watu wake ni wapumbavu. Hivi aliyewaambia kuwa ukiandikwa sana JamiiForums ndiyo utakuwa popular ni nani? CM 1774858Kafulila anatisha aisee kuweka grisi kwa machawa dah! Ana nafasi kubwa sn aisee kwa mapigo haya! Inaonekana rate yake ni kubwa kuliko lumumba club zamu hii!
Hana hisitoria ya kukataa hongo ni huyu waujenzi kabla ujenzi alipelekwa wizara ya ulinziNaibu waziri mkuu au?