Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Saa 4 nakuwa busy sana, kiufupi hii routine labda baadae sana 😂 🤣
Watoto sio hadi saa 4 usiku, mkiamua unaweza kutoka ofisini saa 5 asubuhi ukaenda nyumbani mkapiga kimoja cha Kizee na mimba ikaingia kisha ukarudi zako Kazini 🤗

Kuzaa mapema Kuna Faida nyingi, ukiwa mtu wa mishe mishe(biashara ) unaweza kukuta taratibu umeanza kumrithisha baadhi ya majukumu ya kiofisi mwanao wa kwanza

Siku unaumwa, yeye anaongoza Taasisi(Biashara)
 
Hudumia hivyo vyote kama uko peke yako,ukiwa haupo peke yako,unaonekana boya sana,unaweza ukawa unahudumia hivyo,halafu wengine wanaichapa bila kuhudumia.Kaa kimaster,toa hela polepole.
 
Naelewa Sana kuwa familia ni muhimu, ngoja nimpate aliye sahihi kwanza.
 
Unaweza ukamfanyia vyote hivyo na bado asikupe mkuu
Hahaha...........Mimi sijawahi kukumbwa na hiyo changamoto pamoja na Uzee huu nilionao

Labda changamoto iwe yangu ya ubusy, lakini hakuna Mwanamke unamuhudumia eti akakunyima utamu, hakuna

We huoni sisi Tanzania, kusikia tu Trump ameamua kusitisha misaada tumeshaanza kuchanganyikiwa

Vipi demu ambaye unamlipia Kodi.

Akikunyima si unamwambia tusijuane
 
Wengine wasingexaliwa mkuu
Kuhonga kukoo Toka enzi za ma Babu zetyu
 
Hudumia hivyo vyote kama uko peke yako,ukiwa haupo peke yako,unaonekana boya sana,unaweza ukawa unahudumia hivyo,halafu wengine wanaichapa bila kuhudumia.Kaa kimaster,toa hela polepole.
Kama demu una muhudumia lazima uhakikishe anafata maagizo yako ikiwemo kutokuwa na Mwanaume mwingine, ikitokea ndiyo mahusiano yanakuwa yamefikia mwisho

Ila wakati huo, na wewe Mwanaume unatakiwa kuhakikisha unamuhudumia

Sio akikwambia Kodi ya Chumba imeisha uanze kumpiga sound, Kwa kufanya hivyo unapelekea msichana wako kuanza kuingia Kwenye vishawishi.

Lakini inapofikia wakati wa kumuhudumia kitandani, hakikisha unampa haki yake kisawasawa sio kumuonja na kumuacha na hamu zake
 
Tqtizo ni kuwa mnaandika tu humu, ila uhalisia mtaani ni tofauti kabisa. Wanaume, tena ambao wanatafuta kwa jasho sana ndio wanatoa senti zao za mwisho ili wanawake zao wafurahie maisha.
Ndivyo huwa inakua,unakuta anayesaka hela kwa jasho jingi,ndo anahonga pakubwa.Mtu anasaidia fundi,anapewa 10 au 15 kwa siku,halafu anahonga 6000,huyo kahonga pakubwa sana,tofauti na mtu anayepata 40000 kwa siku,halafu yawezekana akampa demu msosi tu au akagonga kwa status tu.
 
Naelewa Sana kuwa familia ni muhimu, ngoja nimpate aliye sahihi kwanza.
Usihangaike na hizo degree, hakikisha unapata mtu sahihi tu

Ila kuwa na girlfriends japo 3 kisha unapick the right candidate

Huko Vijijini Kuna Wanawake wazuri tu ambao ukisema ukae nao, ni watii na wanajua kufanya vitu Kwa usahihi ukiwaelewesha

Kuna watendaji wa Vijiji/Mitaa/Manesi/Madaktari/Walimu n.k
 
Chief tatizo la uaminifu ni kubwa sana,we unadhani hawahudumiwi,yaani unakuta unahudumia na anajua hupendi kushea,lakini unagongewa,ndomaana nawasihi wenzangu kuhudumia kwa AKILI,hawa watu ni SIRI tu ndo inafanya tucheke nao,ila kiukweli usaliti ni mkubwa ssna.
 
Ndio maana wazee mkituomba tunawapa.
 
Manesi na madaktari try at your own risk.
Inatakiwa ukubaliane na kuchapiwa,wao kuchapiwa ni inshu ndogo sana.
 
Huenda kelele zikasaidia huko mbeleni mkuu🤣🤣 ila kwa sasa hali mtaani ni tofauti na ilivyo hapa jf. Vijana wanajitoa sana, senti zao za mwisho wanatoa ili tu wanawake zao wafurahi.
Hakuna mtu anaweza kutoka nje ya maumbile yake,Yes Wanaume wameumbwa kutoa na. Wanawake wameumbwa kupokea😍
 
Nakubaliana na hilo, swala la usaliti limekuwa kubwa miaka yenu hii

Sisi wengine tulibahatika Kuoa wasichana wenye hofu kidogo ya Mungu, kwahiyo familia zimetulia

Hata keshokutwa ikitokea Kuna Mzee mwenzangu anataka kumpiga mistari Bibi yenu, lazima aniletee taarifa kwamba Mzee mwenzako Xxxx anaomba mzigo

Kwa hili tu inaonesha ameridhika na maisha yetu pamoja na kile ninachompatia Kwa bed kwahiyo hajaona haja ya kufanya usaliti

Ukizingatia tayari tumezeeka now 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…