Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Duuu nmetoka kuhonga laki
 
Hizi kelele naona ni humu kwenye mitandao ya kijamii ila huku mtaani mbona Wanaume wanatoa sana pesa yaani mtu anatamani akupe hata roho yake.
Unadhani wanaume hatupendi kuwapa hela, tunapenda ila inategemea na mwanamke mwenyewe, miaka inavozidi kwenda na huu utandawazi, wanaume wahongaji wataendelea kupungua, ukiona mwanaume anatoa sana pesa kwa mwanamke kuna haya

1)Ni boya, ni mgeni hana uzoefu kwenye mahusiano ya kimapenzi
2)Anajiona hana muonekano mzuri, ili kupata attention ya mwanamke inabidi atoe hela, si rahisi ukute mwanaume kama calisah anahonga mdada
3)Ana hela nyingi za ziada za kuchezea
4)Amependa kweli (Hii kwa wanaume wachache)
5)Ni player anatumia hela kupata wadada, ukijaa kwenye mfumo anakufumua (Hii pia ni wanaume wachache Wana ujanja huu) Nuzulati
 
Napewa mkuu ila kwa kukadiriwa sababu hatupo jirani kiivyo pia na kaz zinachangia
Kama upo naye mbali, endelea kuhudumia ukiwa umejihakikishia nafasi yako kwenye hayo mahusiano

Ikiwa kona kona zimekuwa nyingi punguza huduma kisha ujitoe
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio kuhudumia ni kuuziwa kumer indirect. Kama sio mkeo jukumu la kumuhudumia ni la baba ake.
 
Sasa ukioa ugumu wa maisha sio ndio unaji-double. Ukipiga hesabu ya bajeti kwa mwaka mzima gharama ya kununua dadapoa mara mbili kwa wiki ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kumtunza mwanamke.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukikifikiria kile kitumbua nyetiπŸ˜‹ hujionei huruma hata kidogo.
 
Dollar elfu ishirini laki saba mia mbili na moja zidisha mamia elfu jumlisha mitano tena, weka na mitikashi million moja, kwacha million mia tano na rand elfu sabini, euro elfu kumi bitcoin elfu moja……. 😹😹🀣
Thats a very expensive mbususu. I can not afford. Wacha wenye visu vikali wale hilo tako na titi
 
Sasa ukioa ugumu wa maisha sio ndio unaji-double. Ukipiga hesabu ya bajeti kwa mwaka mzima gharama ya kununua dadapoa mara mbili kwa wiki ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kumtunza mwanamke.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pamoja sana kaka.
 
Sasa ukioa ugumu wa maisha sio ndio unaji-double. Ukipiga hesabu ya bajeti kwa mwaka mzima gharama ya kununua dadapoa mara mbili kwa wiki ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kumtunza mwanamke.
Hili nalo neno ujue....kweli kabisa dada poa ni less expensive kuliko hawa mashangazi ya tako titi tumbo
 
Nashauri, hivi vitu Vilivyoandikwa kwenye huu uzi msivifatishe huko mtaani.
 
Jiandae kwa lolote, kumbuka USAID wameleft group.
Asante kwa ushauri...
naona vitoto vya 2000 vinajaa relini at a cheaper cost

#huyu nimemdanganya anitafutie mtu kwa kumtumia sms kumbe ananitumia mm mwenyeweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œkataa ndoa,ndoa ni utapeli!!

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œkama sio bikra,usioe!!!

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒToa hela ya nauli(bodaboda) tu,chakula atakikuta geto!!!


🚨🚨🚨Ukiwa na midadi(MAUGUMU) sana,TEMBELEA MIGAHAWA MIKUBWA KULA VIZURI au ingia maduka makali ya NGUO ZA KIUME JIPENDELEE JIBRAND AU KANUNUE TOFALI PELEKA SITE,UKISHINDWA FUNGUA FIXED ACCOUNT.Utashangaa midadi inayeyuka yenyewe.

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒUBAHILI NDO UTAJIRI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…