Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Loud nd clear
 
Uzi uishie hapa.
 
Hapo ndo vijana mnapofeli, utasikia kitoto cha 2000 kinasema Nina mubaba wangu! Ujue kakikihoa tu fifty.
Mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tΓ kataka tuu.
Waambie ukweli hawa.
 
Ni dhambi kubwa sana jobless Kuhonga elfu kumi .... Nasema hii dhambiiiiiiiii
 
Vijana mtafute hela, hakuna uchi wa bure siku hizi. Lol
Ishu sio kutafuta hela ishu ni mwanamke ana-offer nini in-return. Kuna wanawake ukiwa nao hata iyo 10k anayoisema mtoa mada ni ndogo sana.

Kama mwanamke anauza uchi ilo ni suala la ku-negotiate bei then baada ya tendo no attachments, no billings. Kwa kizazi tulichopo biashara ya ukahaba wala sio kitu cha ajabu tena kama miaka ya nyuma kidogo.

Lakini ukijiweka kwa mwanaume kwa sababu ya hela tu maana yake umeuza uhuru wako utakapouitaji tena basi ombea tu uyo mwanaume awe na kifua cha kustahimili maumivu ya investments zake alizozofanya kwako otherwise ndio yale yale ya msukuma na penny wa goba.

Kwenye dating pool wanawake wanacheza rafu nyingi sana tatizo wakichezewa rafu wao ndo wanajifanya victims.
 
I will never let a woman make me feel less of a man, just because I don't wanna buy or give her something.
I second you...I don't give a f on what they think of me as long as I am composed. While they are yip-yapin i will be on the sideline sitting like a perv..Its my money it's my decision whether i give you or not you shouldn't be tripping, get your money and we become even....
 
Allright homie
 
quid pro quo
Reciprocity is better than quid pro quo.

Quid pro quo is like a deal, something forced.

Reciprocity happens without force, it is an order in itself.

Mimi sioni vibaya kumpa mtu wangu zawadi, tena najisikia kama yeye ananipa mimi zawadi zaidi.
 
Salaam mkuu, with your ability hope you help this kid🀣🀣🀣
 
Reciprocity is better than quid pro quo.

Quid pro quo is like a deal, something forced.

Reciprocity happens without force, it is an order in itself.

Mimi sioni vibaya kumpa mtu wangu zawadi, tena najisikia kama yeye ananipa mimi zawadi zaidi.
Mkuu " On my Mama" yani wanawake wa kibongo most of them bila Quid pro quo, hawaendi, ndio mana nikaandika hivyo, ukiwapeleka kama Barbarita wa La Mujer De Mivida, unapoteana kabisa...yan wanatakiwa kabisa wajue "You scratch my back, I scratch yours" hapo sasa ndio kidogo anaweza kuwa na discipline, most of them, lesson za mapenzi wanajifunza the hard way, they will never understand something is dangerous until it's on their asses...
 
Mnawazoesha wenyewe halafu mnawalalamikia.

Picha linaanza ukitaka kuoa mke unamnunua kwa mahari, jambo limekaa kiutamaduni kabisa linakubalika.

Sasa katika utamaduni huo mwanamke akijiona ana mali ya kuuza utamlaumu vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…