Kijana uliye juu ya mawe jaribu mbinu hii. Ukikosa ajira najitoa JF milele

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina.
Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi.

Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana.

1. Nenda play store au apple store kapakue app za kujifunza lugha ya kichina . Kwa muda wa mwezi mmoja jichimbie jifunze kichina.
Ukiweza kwa level ya Intermediate nenda panapo miradi ya Wachina kawasilimie kichina then waambie kuwa unaomba kazi. Ongea nao stori kadhaa kadhaa.
KAZI ushapata.

Lugha ya Kichina ni ajira kwa sasa, miaka 4 mbele yawezekana isiwe tena fursa na njia hii isiwe applicable kwa % nyingi.

Kesho au jioni tawapa mbinu ya kuokota kazi ya serikali.
 
Hauko mbali nakuchangnyikiwa.
Badala wachina ndo wajifunze kiswahili
Yaani katika nchi yetu tujifunze lugha za kigeni
Wewe jifunze kichina then fungua tuition ya Kiswahili kwa Wachina nayo ni fursa.
Huwezi kufundisha Kiswahili Wachina huku hujui Kichina.
Bado point itabaki Kichina ni fursa.
 
Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina.
Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi.

Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana.

1. Nenda play store au apple store kapakue app za kujifunza lugha ya kichina . Kwa muda wa mwezi mmoja jichimbie jifunze kichina.
Ukiweza kwa level ya Intermediate nenda panapo miradi ya Wachina kawasilimie kichina then waambie kuwa unaomba kazi. Ongea nao stori kadhaa kadhaa.
KAZI ushapata.

Lugha ya Kichina ni ajira kwa sasa, miaka 4 mbele yawezekana isiwe tena fursa na njia hii isiwe applicable kwa % nyingi.

Kesho au jioni tawapa mbinu ya kuokota kazi ya serikali.
Wewe si unakula za samuya
 
Muuza mbunye unatoa ushauri unadhani wote tuna mbunye
 
Mimi nao afanye vituko apate umaarufu kisha aanze kumsifia samuya baada ya hapo ajiunge kwenye taasisi ya chawa wa mama atailipwa kwa kadri ya anavyosifia atapewa pesa za kufanya vibao kata na kufuru kadhaa hapa mjini
 
ahahaha 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom