Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina.
Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi.
Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana.
1. Nenda play store au apple store kapakue app za kujifunza lugha ya kichina . Kwa muda wa mwezi mmoja jichimbie jifunze kichina.
Ukiweza kwa level ya Intermediate nenda panapo miradi ya Wachina kawasilimie kichina then waambie kuwa unaomba kazi. Ongea nao stori kadhaa kadhaa.
KAZI ushapata.
Lugha ya Kichina ni ajira kwa sasa, miaka 4 mbele yawezekana isiwe tena fursa na njia hii isiwe applicable kwa % nyingi.
Kesho au jioni tawapa mbinu ya kuokota kazi ya serikali.