Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Sasa hivi usipotumia akili hutoboi labda ubebweMtoa hoja asipuuzwe ana hoja mm najifunza kijapan sasa kuna mtu kanishtua kuna mchongo mkubwa unakuja area yetu na facilitator n hao wajapaenga
Wewe jifunze kichina then fungua tuition ya Kiswahili kwa Wachina nayo ni fursa.Hauko mbali nakuchangnyikiwa.
Badala wachina ndo wajifunze kiswahili
Yaani katika nchi yetu tujifunze lugha za kigeni
jamaa kawa bilionea kimasihara tuKing pusy anaokota zake HUKO bila stress mkuu
Wewe si unakula za samuyaLeo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina.
Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi.
Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana.
1. Nenda play store au apple store kapakue app za kujifunza lugha ya kichina . Kwa muda wa mwezi mmoja jichimbie jifunze kichina.
Ukiweza kwa level ya Intermediate nenda panapo miradi ya Wachina kawasilimie kichina then waambie kuwa unaomba kazi. Ongea nao stori kadhaa kadhaa.
KAZI ushapata.
Lugha ya Kichina ni ajira kwa sasa, miaka 4 mbele yawezekana isiwe tena fursa na njia hii isiwe applicable kwa % nyingi.
Kesho au jioni tawapa mbinu ya kuokota kazi ya serikali.
HAPANA NAKATAA HAJAWA BILIONEA ILA VIHELA VYA KULA HAVIMPIGI CHENGAjamaa kawa bilionea kimasihara tu
kawa bilionea sasa. Trust me, namtunzia pesa zake Mimi π€£π€£π€£π€£HAPANA NAKATAA HAJAWA BILIONEA ILA VIHELA VYA KULA HAVIMPIGI CHENGA
Kiswahili, Kiingereza na KiitalianoWewe unajua lugha gani zaidi ya kiswahili na kingereza cha kuungaunga?
twende kazi' kiitalianoKiswahili, Kiingereza na Kiitaliano
Muuza mbunye unatoa ushauri unadhani wote tuna mbunyeLeo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina.
Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi.
Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana.
1. Nenda play store au apple store kapakue app za kujifunza lugha ya kichina . Kwa muda wa mwezi mmoja jichimbie jifunze kichina.
Ukiweza kwa level ya Intermediate nenda panapo miradi ya Wachina kawasilimie kichina then waambie kuwa unaomba kazi. Ongea nao stori kadhaa kadhaa.
KAZI ushapata.
Lugha ya Kichina ni ajira kwa sasa, miaka 4 mbele yawezekana isiwe tena fursa na njia hii isiwe applicable kwa % nyingi.
Kesho au jioni tawapa mbinu ya kuokota kazi ya serikali.
Mimi nao afanye vituko apate umaarufu kisha aanze kumsifia samuya baada ya hapo ajiunge kwenye taasisi ya chawa wa mama atailipwa kwa kadri ya anavyosifia atapewa pesa za kufanya vibao kata na kufuru kadhaa hapa mjiniLeo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina.
Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi.
Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana.
1. Nenda play store au apple store kapakue app za kujifunza lugha ya kichina . Kwa muda wa mwezi mmoja jichimbie jifunze kichina.
Ukiweza kwa level ya Intermediate nenda panapo miradi ya Wachina kawasilimie kichina then waambie kuwa unaomba kazi. Ongea nao stori kadhaa kadhaa.
KAZI ushapata.
Lugha ya Kichina ni ajira kwa sasa, miaka 4 mbele yawezekana isiwe tena fursa na njia hii isiwe applicable kwa % nyingi.
Kesho au jioni tawapa mbinu ya kuokota kazi ya serikali.
ukijizima data upate umaarufu kisha uanze kumsifia samuya unatoboaKing pusy anaokota zake HUKO bila stress mkuu
Jifunze intensive mzee sio kilele mamaMtoa hoja asipuuzwe ana hoja mm najifunza kijapan sasa kuna mtu kanishtua kuna mchongo mkubwa unakuja area yetu na facilitator n hao wajapaenga
Wewe unaona ni Overnight success. Hujui hard work aliyopitia, day to day, muda aliotumia rasilimali nkjamaa kawa bilionea kimasihara tu
ahahaha π π πMimi nao afanye vituko apate umaarufu kisha aanze kumsifia samuya baada ya hapo ajiunge kwenye taasisi ya chawa wa mama atailipwa kwa kadri ya anavyosifia atapewa pesa za kufanya vibao kata na kufuru kadhaa hapa mjini