Kijana uliye juu ya mawe jaribu mbinu hii. Ukikosa ajira najitoa JF milele

Wewe mwenyewe unaishi kwa kutegemea uchawa! Halafu unawashauri vijana wenzako wajifunze Kichina. Kwa nini wewe hapo ulipo usiachane na uchawa ili ukajifunze hicho Kichina?
 
Waliojuu ya mawe hawana simu~ Chid benz
 
Shida ila jina lako tiyari unaonekana ni tapeli na kunguni au chawa
 
Mtoa mada asipuuzwe , mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati barrick wameanza operation zao tanzania baadhi ya watanzania walinufaika simpl kwasababu walijua lugha ya kiingereza muda mfupi baada ya kazi wakawa ma shifboss wengine ni experties huko mali na kwingineko kujua lugha ya mgeni ni advantage japo wachina wanapenda cheap labor πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wanakutafuta umetoroka
Walisahau geti wazi ukaponyoka


View attachment 3524134

View attachment 3524136
Wanao changanyikiwa kwa kubeti ni sawa na wale wanao soma hadi wanakuwa machizi ...maan yake ni vichwa panzi ...mtu kuchanganyikiwa kwa kusoma ni matokeo ya ubongo kisoda ndio wale vichwa panzi ambao wakishika mawili moja linawaponyoka ...mimi nashika elfu na aliniponyoki hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…