Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
kataa ndoa uishi miaka mingi ya furaha
Damka saa kumi na moja anza usafi wako wa ndani unapo lala deki choo chako vizuri sio kila siku kwa wiki ukifanya siku tatu sio mbaya
Baada ya hapo tandika kitanda chako vizuri tu hii ina kusaidia siku unaweza ukazidiwa ukaletwa kwako ujitambui wakakuta pasafi kabisa ukaondoa aibu nje unaonekana msafi ndani unapo lala ovyo na pia at mwanamke akija kwako lazima aogope kidogo
Kisha loweka nguo zako ulizo vaa jana usiku morng unazifua mimi huwa na fanya ivyo nikirudi kwenye maangaiko yangu naanua na kunyoosha kama hivi
Na unazikunja good kabisa
Ukifanya hivi ata mwanamke akija kwako ata kuheshimu tu anajua huyu simtishi kwa lolote kila kitu anafanya mwenyewe na mwanamke akija kwako usimpe nafasi ya kugusa ata soksi kufua yaan nguo zako afanye kilicho mleta asepe vingine fanya mwenyewe wanawake watakuogopa serious