Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Jamaa ameandika kwa hisia Kali Sana labda tumpe nafasi aje atusimulie yaliyomkuta huko.
 
Mkuu naona hujanipata vizuri mimi siongelee utajili au umasikini wa mtu, nasemea usitegemee kuendesha familia yako kwa kutegemea kipato cha mkeo hata siku moja, ila akiamua kukusaidia kifedha ni poa, akisitisha msaada usivimbe mpaka kupasuka uwanze kmuibia pesa yake umfanyie udalali utapeli, huyu ndo ujinga, ndoa sio economic venture walaa mke sio economic parterner ni social partner, mkuu kama unataka kuepuka na frustration za familia husibajetie pesa ya mkeo kuendesha familia.
 
Usikute unamfanyia hay

Usikute unamfanyia haya yote ila bado unagongewa na njemba fulani huko kazini kwao.
Mkuu kugongewa mke kwangu sio issue kabisa, za mwizi ni 40 I don't compromise it incase, na hamna formula ya kufanya mkeo asingongewe, ila suluhisho la kumalizana naye liko pale pale huwezi kunibadili, na taarifa ni lisha toa kwandgu jama na wife citaki vikao kwa hilo
 
Nimependa sana solution yako juu ya issue ys kugongewa. Kwamba kes zote mtajadili ila issue ya cheating haina mjadala.[emoji1787]
 
Wee hugongi nje?
 
Wee hugongi nje?
Citaki kujitafutia stress za nje kipato changu kinanitosha vizuri na familia, nikianza michepuko ntaanza kuwanza msaada kutoka kwa wife, asikudanganye hamna mwana mke asio penda pesa.
 
Usimuache huyo
 
Tatizo hatuna bajeti sisi yakipita madera, mikoba, sendo tumo so hela haitoshiii ya kusaidiana maana hata sisi hatujui zinaishaje.
Hahahaha unaishia kuomba mkeo bajeti kwa mwanaume ni kitu muhimu, ila kuweza kupangilia kipato chako.
 
Hivi siku hizi kuna wanaume wakusaidia upande wa mke? Maana wengi wao husema hajaoa ukoo!
 
Kukosa heshima, kutengwa ndani ya familia yako, kudharauliwa, kuachwa nk. Ni matokeo ya kidume kukosa hela
Sasa akose hela halafu akili yake awe anaijua mwenyewe ndiyo atazarauliwa hata na kuku wanyumbani kwake.
 
Hivi siku hizi kuna wanaume wakusaidia upande wa mke? Maana wengi wao husema hajaoa ukoo!
Hao ni wa puuzi ukoo wa mkeo ni sawa sawa na ukoo wa mwana ume, kumbuka mwanaume ndo mkuu wa famalia lzma usimamie hao wazazi kwa kiasi
 
Bora kua muangalifu kibla ya kujilipua kuingia ndoa, bila pesa mwanaumme hujakamilika
Hata ukiwa nazo zinaishaga, kuzaraulika mara nyingi huwa pale anapokuwa nazo anakuwa mjanja mjanja siku zikiisha anatafuta huruma yakuheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…