Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Jamaa ameandika kwa hisia Kali Sana labda tumpe nafasi aje atusimulie yaliyomkuta huko.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuandika comment ya kidhaifu namna hii. Watu kama wewe ndio mnapotosha uma wa wanawake kuwa wanaume mbele yao hatuna ujanja na ni dhaifu halafu wanakuja kutana na majambazi wanapigwa na kitu kizito wanaishia kusema wanaume ni mbwa.
Sifa ya mwanaume ni kutokukubali kuonekana dhaifu. Umeandika kizembe sana , sijapenda kwakweli. Nikiwa kama Kaka yako mkuu na kiranja wa mwenendo wako nakuagiza uedit hii comment iwe ya kibabe au uifute ili kusafisha hadhi yako ya kiume.