Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Jamaa ameandika kwa hisia Kali Sana labda tumpe nafasi aje atusimulie yaliyomkuta huko.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuandika comment ya kidhaifu namna hii. Watu kama wewe ndio mnapotosha uma wa wanawake kuwa wanaume mbele yao hatuna ujanja na ni dhaifu halafu wanakuja kutana na majambazi wanapigwa na kitu kizito wanaishia kusema wanaume ni mbwa.

Sifa ya mwanaume ni kutokukubali kuonekana dhaifu. Umeandika kizembe sana , sijapenda kwakweli. Nikiwa kama Kaka yako mkuu na kiranja wa mwenendo wako nakuagiza uedit hii comment iwe ya kibabe au uifute ili kusafisha hadhi yako ya kiume.
 
Mtoa mada Ana mindset ya kipumbavu Sana.Kwanza Ni utwambie umetumia sample ya watu wangapi katika huo utafiti wako ndo ukajua ndoa bila hell ya mwanaume haidumu?

Unatakiwa ujue kwamba maisha hayana fomyula hata kidgo.Wapo watu wengi Sana ambao Wana uchumi mzuri Sana na bado ndoa zao zinayumba na pia wapo ambao uchumi wao haujakaa vizuri ika ndoa zao zimejaa upendo,amani,furaha na uaminifu.

Uaminifu,upendo na utu uzima ndo vigezo vikubwa Sana vya kuzingatia kwenye suala la kumchagua mwenza wako.

Tuache kupotoshana kwa mambo ya kijinga kijinga.
Mkuu naona hujanipata vizuri mimi siongelee utajili au umasikini wa mtu, nasemea usitegemee kuendesha familia yako kwa kutegemea kipato cha mkeo hata siku moja, ila akiamua kukusaidia kifedha ni poa, akisitisha msaada usivimbe mpaka kupasuka uwanze kmuibia pesa yake umfanyie udalali utapeli, huyu ndo ujinga, ndoa sio economic venture walaa mke sio economic parterner ni social partner, mkuu kama unataka kuepuka na frustration za familia husibajetie pesa ya mkeo kuendesha familia.
 
Usikute unamfanyia hay

Usikute unamfanyia haya yote ila bado unagongewa na njemba fulani huko kazini kwao.
Mkuu kugongewa mke kwangu sio issue kabisa, za mwizi ni 40 I don't compromise it incase, na hamna formula ya kufanya mkeo asingongewe, ila suluhisho la kumalizana naye liko pale pale huwezi kunibadili, na taarifa ni lisha toa kwandgu jama na wife citaki vikao kwa hilo
 
Mkuu kugongewa mke kwangu sio issue kabisa, za mwizi ni 40 I don't compromise it incase, na hamna formula ya kufanya mkeo asingongewe, ila suluhisho la kumalizana naye liko pale pale huwezi kunibadili, na taarifa ni lisha toa kwandgu jama na wife citaki vikao kwa hilo
Nimependa sana solution yako juu ya issue ys kugongewa. Kwamba kes zote mtajadili ila issue ya cheating haina mjadala.[emoji1787]
 
Mkuu kugongewa mke kwangu sio issue kabisa, za mwizi ni 40 I don't compromise it incase, na hamna formula ya kufanya mkeo asingongewe, ila suluhisho la kumalizana naye liko pale pale huwezi kunibadili, na taarifa ni lisha toa kwandgu jama na wife citaki vikao kwa hilo
Wee hugongi nje?
 
Wee hugongi nje?
Citaki kujitafutia stress za nje kipato changu kinanitosha vizuri na familia, nikianza michepuko ntaanza kuwanza msaada kutoka kwa wife, asikudanganye hamna mwana mke asio penda pesa.
 
Mimi naishi kwa kutegemea pesa ya mke wangu, na Maisha yanasonga, tatizo watu wanayachukulia haya Maisha too serious utadhani wanampango wa kuishi miaka 500 kwenye uso wa dunia.

Don't complicate life, tuumia pesa ya mkeo , akudharau poa , asikudharau poa, siku ukishindwa kuvumilia tafuta mwingine maisha yasonge

Nasema hivi kwakuwa juzi tu wife kanitumia 2M nikahemee vitu vya ofisi yetu.Sasa Mkuu Kama wewe umeangukia kwa mke mbovu usilinganishe Wala kutupangia wale ambao tunawanawake wanaotupeti-peti.

Nampenda sana mke wangu, maana ananitii na kuniheshimu
Usimuache huyo
 
Tatizo hatuna bajeti sisi yakipita madera, mikoba, sendo tumo so hela haitoshiii ya kusaidiana maana hata sisi hatujui zinaishaje.
Hahahaha unaishia kuomba mkeo bajeti kwa mwanaume ni kitu muhimu, ila kuweza kupangilia kipato chako.
 
Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.

Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Hivi siku hizi kuna wanaume wakusaidia upande wa mke? Maana wengi wao husema hajaoa ukoo!
 
Kukosa heshima, kutengwa ndani ya familia yako, kudharauliwa, kuachwa nk. Ni matokeo ya kidume kukosa hela
Sasa akose hela halafu akili yake awe anaijua mwenyewe ndiyo atazarauliwa hata na kuku wanyumbani kwake.
 
Hivi siku hizi kuna wanaume wakusaidia upande wa mke? Maana wengi wao husema hajaoa ukoo!
Hao ni wa puuzi ukoo wa mkeo ni sawa sawa na ukoo wa mwana ume, kumbuka mwanaume ndo mkuu wa famalia lzma usimamie hao wazazi kwa kiasi
 
Bora kua muangalifu kibla ya kujilipua kuingia ndoa, bila pesa mwanaumme hujakamilika
Hata ukiwa nazo zinaishaga, kuzaraulika mara nyingi huwa pale anapokuwa nazo anakuwa mjanja mjanja siku zikiisha anatafuta huruma yakuheshimiwa.
 
Back
Top Bottom