Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

We jamaa uko kinyume kabisa na uhalisia na unature vile vile[emoji848][emoji848]...

Yaan hauko kwenye ulimwengu huu, sijui huwa unaota??[emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Huyo hawezi kuelewa kabisa!

Yy anataka awe pasu pasu na mwanamke [emoji848][emoji849][emoji849]

Ulishaonaga wapi hiki kitu?[emoji848]

Evelyn Salt
 
Mkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.
Inatakiwa ujipange vya kutosha kwa hayo unexpected natural disasters
 
Kumbe bado kuna wanaume original asee[emoji848][emoji848]
 
Upo sahihi Kama mumeokotana na hampendani.
Na hamjui nini maana ya Familia.

Siku zote familia yenye mfumo uliousema kamwe haiwezi kuendelea.
Hiyo ni Familia yenye ubinafsi, na kwenye ubinafsi kuna unyanyasaji.

Unakuta mume anamnyanyasa mke kisa Mke Hana kipato, au kisa mume ndiye analisha familia. Halikadhalika na Mke naye anamnyanyasa mume kisa Hana kipato na yeye ndiye analisha familia.

Msingi Mkuu wa ndoa ni Upendo na wala sio pesa.

Ushauri wako ni mzuri Kutokana na Dunia ya sasa ilivyo, wanawake ni selfish Kwa watu wasiowapenda. Hilo ulizingatie Sana.

Pesa zako hazimfanyi mwanamke akupende, hilo pia uliweke akilini.
Na Mwanamke lazima Ajue uzuri wake na kujitoa kwake hakumfanyi mwanaume akupende.

Upendo WA kweli hautengenezwi.
Kuupata upendo wa kweli ndio kipengele.

Na hapo ndipo mtoa mada hoja yake inapopata nguvu
 
Haaahaaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Kaongea ukweli ambao hamtaki tuujue, unfortunately tunaujua vizuri tu[emoji16][emoji38]
 
Correct
 
Watu si wanafikiria maisha ni burudani tu. Maisha ni fumbo mkuu, kuoa ni mtihani unahitaji akili sana. Binafsi mi ntao mke wa mfano wa huyo shemeji yako. Hata nikifa watoto wangu wako sehemu salama coz mama yao ni strong.
Hahahahaha daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We jamaa bana
 

Unaakili Sana sema watu hatukwambii tuu!

Ya nini ujitese kisa ujinga
 
Wewe angalau umeongea logic[emoji122][emoji122]

Yaan unakuta hela ya mwanaume haionekani au hayuko responsible kabisa afu anasema hela ya mwanamke lazima ionekane na isaidie nyoooo [emoji1787][emoji1787]
 
Saafi saana mkuu hayanaga formula haya masuala. Unaweza oa asie ka kazi hachangii chochote zaidu ya nyandu na kukuzalia na kukupikia afu siku mambo zako zimekaa vzr anakuzingua ili mgawane mali kipi bora sasa. Mleta mada atuambiw
 
Inatakiwa ujipange vya kutosha kwa hayo unexpected natural disasters
Anayeweza kupangua hayo ni Mungu tu. Tumeshuhudia mtu ambaye aliaminika ni powerful jasiri wa michongo, muongoza njia ila alitandikwa na moja kubwa hadi hadi akatembeza bakuli.

Itakuwa mie ambaye hata sina million 1OO kwenye account πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mdangaji sindio new name of the game. Goldiggers ndio always wanalilia matunzo they don't fight for theirselves but incline on a mans finance.

Ni mizigo na wakiolewa ndio huwa hawachangii chochote zaidi ya sex.
Haaahaaa
 
Ewaaaaa....we jamaa ni genius [emoji122][emoji122]
 

Unachosema ni sahihi kabisa kwamba sio vizuri kutegemea pesa ya mwanamke.
Lakini I kutoitumia kabisa pesa ya Mwanamke ni Dalili kuwa hapo hakuna ndoa, yaani huyo sio Mkeo na wewe sio mume wake anayekupenda.

Mwanamke anayekupenda lazima pesa yake uilambe. Yaani atafanya juu chini pesa yake uile.
Mwanamke asiyekupenda atafanya juu chini pesa yake usiile.

Sasa Kama Mwanamke Hana uwezo WA kukupa pesa yake unategemea ataweza kukuuguza ukikamatika?πŸ˜‚πŸ˜‚

Pesa ni kitu kidogo Kwa mtu mwenye Upendo.

Ila Vijana hawapaswi kuzitolea macho pesa za wake zao, isipokuwa lazima zitumike ndani ya familia.

Kwa mtu mwenye mtazamo Kama wako sio ajabu Ukidondoka sasa hivi Mkeo na watoto lazima wapate taabu.
Kwa sababu hapakuwa na ushiriano na umoja baina ya Baba na Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…