Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Sasa hapo ndo uwe na low expectation ktka kwa mke tena tafuta mke mwenye low profile uenda anaweza kumuudu kwa kiasi hali ikibadilika.
Uko sahihi mtu kwao kazaliwa porini wanatumia vibatari na nyumba ya nyasi anafika mjini anataka kuoa mwanamke alizaliwa katikati ya jiji ghorofani kwenye umeme masaa yote maji hakuna kwenda ku chota maji mtomi yako ndani

Amekua akiona mama yake akienda saluni nzuri na kununua nguo za gharama leo mtoka porini ohh mimi naona wewe unapenda vya bei kutwa saluni kwani ukinyoa kichwa upara utafariki dunia? Unaanza gubu.Kila kidume aoe saizi yake
 
Mkuu Covax nina maswali kadhaa nahitaji kufahamu toka kwako:
1. Umeoa
2. Kama umeoa, una uzoefu wa miaka mingapi kwenye hiyo ndoa?
3. Kwa wakristo tunaamini ndoa ni kuwa mwili mmoja, wewe unaelewa nini katika hili?(kama nawe ni mkristo)
4. Mke ni msaidizi wa mume, katika hili unadhani mipaka ya usaidizi huo ni ipi?

Asante, nitafurahi ukinipa majibu kwa hayo maswali yangu.
Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
 
Uko sahihi mtu kwao kazaliwa porini wanatumia vibatari na nyumba ya nyasi anafika mjini anataka kuoa mwanamke alizaliwa katikati ya jiji ghorofani kwenye umeme masaa yote maji hakuna kwenda ku chota maji mtomi yako ndani

Amekua akiona mama yake akienda saluni nzuri na kununua nguo za gharama leo mtoka porini ohh mimi naona wewe unapenda vya bei kutwa saluni kwani ukinyoa kichwa upara utafariki dunia? Unaanza gubu.Kila kidume aoe saizi yake
Nature ya mwanamke yeyeto ni kupendeza hata mtu pori akifika mjini lazima azijue saluni
 
Kusaidia kwa mke ni hiari sio lazima mda wote anaweza kuacha kutoa huo msaada ukaja ukaumia bure, never ever trust a woman 100% anything can happen
Tatizo majukumu ya wanawake katika ndoa hamuyafahamu. Kwahiyo mnapoingia mnaanza kubahatisha wanawaona hamjilewi wanaanza kuleta drama mnaachana.

Mwanamke ana majukumu yake ndani ya ndoa. Majukumu ya kiafya, kiuchumi, kimalezi, kimahusiano, na kifamilia. Ukiyajua haya na ukaanza kumpangia assignments zake hatoweza pata huo muda wakuanza kuhoji mambo yasiyomhusu kama wewe unatengeneza kiasi gani.
 
Nature ya mwanamke yeyeto ni kupendeza hata mtu pori akifika mjini lazima azijue saluni
Ila angalau elie toka Bush kuliko wa Masaki gharama zao, ni tofauti kwahiyo na shauri jameni jipimieni wa kuoa, achaneni vigezo vya kua chura pisi kali nk mwishowi ndoa inakua kali
 
Acha kututisha,hao wenye tabia hizo labda wa kwenu huko mijini,sisi huku kwetu tunasaidiana na maisha yanasonga raha tupu...
 
Mkuu unafikiri msaada wa pesa sio kwa mwanamke, labda misaada mingine kama kazi za ndani kukutibu kukufulia hapo poa ila pesa zake mtapishana bure bora kujipanga kimind set mapema..........na pia women kisaikolojia nitofauti sanaa na wanaumme hatuwezi kufanana wanahitaji special handling ili uelewe vzr ntakipa mifano mingi
Unazitumia vizuri tu kwani yeye si anatumia za kwako au?!
 
Ndoa ni vita ya kihisia na akili , amesema mdau hapo juu.

Hii vita anaeumia zaidi ni mwanaume , wanaume tunaumia sana kwenye mahusiano na ndoa kwa ujumla, tunaumia kihisia zaidi kiakili na kisaikolojia.

Bado hatujaweza kujua mwanamke ni nani na tufanyeje ili tuwe na furaha nae.

Mwanamke anaweza kukusababushia maumivu tokea siku ile ulipoanza kumpenda akiwa kwao, unajipa moyo akiwa kwangu hali itatulia labda, inaamua kumuoa na kuishi pamoja hapo unafunguka mlango mwingine wa maumivu na inakua ni maumivu muendelezo.

Wabarikiwe sana wanawake kwa kua wametufanya wengi wetu kuinuka na wengi wetu kuanguka.

Wabarikiwe sana wanawake kwa kua wametufanya wengi wetu kuwa fahari na wengi wetu kuwa wanyonge.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kushauri watu wasioe ningeshauri kwa kweli.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuandika comment ya kidhaifu namna hii. Watu kama wewe ndio mnapotosha uma wa wanawake kuwa wanaume mbele yao hatuna ujanja na ni dhaifu halafu wanakuja kutana na majambazi wanapigwa na kitu kizito wanaishia kusema wanaume ni mbwa.

Sifa ya mwanaume ni kutokukubali kuonekana dhaifu. Umeandika kizembe sana , sijapenda kwakweli. Nikiwa kama Kaka yako mkuu na kiranja wa mwenendo wako nakuagiza uedit hii comment iwe ya kibabe au uifute ili kusafisha hadhi yako ya kiume.
 
Ila angalau elie toka Bush kuliko wa Masaki gharama zao, ni tofauti kwahiyo na shauri jameni jipimieni wa kuoa, achaneni vigezo vya kua chura pisi kali nk mwishowi ndoa inakua kali
Bora huyo wa Masaki ujue kabisa ni wa gharama ila huyo wa bush siku akiujua mji utajua hujui.
 
Ndoa ni vita ya kihisia na akili , amesema mdau hapo juu.

Hii vita anaeumia zaidi ni mwanaume , wanaume tunaumia sana kwenye mahusiano na ndoa kwa ujumla, tunaumia kihisia zaidi kiakili na kisaikolojia.

Bado hatujaweza kujua mwanamke ni nani na tufanyeje ili tuwe na furaha nae.

Mwanamke anaweza kukusababushia maumivu tokea siku ile ulipoanza kumpenda akiwa kwao, unajipa moyo akiwa kwangu hali itatulia labda, inaamua kumuoa na kuishi pamoja hapo unafunguka mlango mwingine wa maumivu na inakua ni maumivu muendelezo.

Wabarikiwe sana wanawake kwa kua wametufanya wengi wetu kuinuka na wengi wetu kuanguka.

Wabarikiwe sana wanawake kwa kua wametufanya wengi wetu kuwa fahari na wengi wetu kuwa wanyonge.

Kama kungekuwa na uwezekano wa kushauri watu wasioe ningeshauri kwa kweli.
Mkuu ukitambua kwamba mwana mke ndani ya nyumba she is "a friendly enemy" hapo ndo ujue jinsi ya kupambana na rafiki adui wako, ukiwa mshamba ukiaza kuzimia eti honey I love you 100% hao watu ndo wanao jinyonga baada ya kusalitiwa na wake zao, ukiwa kwenye deep love na wife jicho moja ziba jingine liwe wazi, ukiziba yote umeisha.
 
Hahaha mkuu 'never bite what you cant swallow' tafuta mke wa level yako, wakati hujampeleka mke kwenye sehemu nzuri za juu tafakali kwanza je nikikosa itakua je....... ukifikili kwamba atakusaidia yeye kwa pesa yake!!! Hiyo itakua 'own goal'
Hakunaga mwanamke wa maisha fulani. Unaweza kutana na binti wa kishua ambaye ameishi kishua maisha yake yote ila ukaanza nae mahusiano akakubali kuanza kurasa mpya ya maisha na wewe tena maisha ya kawaida na aka adopt.

Ni swala la wewe unamuongozaje. Mtaji wa mapenzi ni intelligence na vision ya mwanaume. Ukiwa hauna hivi vitu then tegemea mapenzi kuwa na drama sababu wanawake kiubongo wapo wired kuona mwanaume anafanya mambo mazuri ya kufanya maisha yake kuwa interesting so haijalishi ni mambo gani.

Na hii kitu wanawake wanafahamu ingawa hawaelewi imekaaje hadi wao kuumbwa hivyo.

Mfano unamkuta mwanamke ni single mother, kwa mwanaume intelligent unajua kabisa kuwa huyu tayari ni damaged goods na hapo una bonge la lavarage sababu unajua pa kuanzia. Lakini utakuta vijana wengi mtihani mdogo kama huo unafeli kwa kufeli kucalibrate au kuadjust akili ya mwanamke itoke katika ulimwengu wa kufeli maisha na kuingia maisha mapya yenye matumaini na matarajio ya kuishi vizuri.

Unaweza kuta binti ni wa kishua ila hana exposure ya maisha ya furaha ya watu wa kipato cha kati au chini. Kumbe kuna vitu vingi utaweza fanya nae na maisha yake yakageuka kuwa ya furaha na kukutegemea wewe kubalance estrogen levels zake kwenye damu.

Kuna mengi vijana hamjui kuhusu wanawake yet mnakuja kualalamika wakati you are the masters and controller of this game.
 
Mkuu hizo ni stori za vijana vijueni ambao hawajaanza maisha ya ndoa na hawana pesa, wana jiliwaza tu..... ila dunia hi hamna mwana mke wakitajili amekulia Masaki ana fanya shopping mlimani City califonia eti aolewa na Mha wa kigoma ampeleke kibondo shambani walime mawese eti kisa ana mapenzi labda awe amerogwa,........ hayo ni imaginations za vijana zinaitwa utopian ideas .... ila sio kwako wewe leta comment za kiume plz.
 
Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
Sasa unafuga mtu wa namna hiyo ili uje kumla nyama au anataga mayai?!

Sas hapo upo kwenye ndoa au upo jela na mtu ambaye haujaridhika nae?!

Kwann usipate mwenzako ambaye mtashare taarifa na kusapotiana kwa wakati. Muwe watu wa kusapotiana na kutiana nguvu.
 
Mkuu hizo ni stori za vijana ambao hawajaanza maisha na hawana pesa kujiliwaza tu..... ila dunia hi hamna mwana mke watajili amekulia Masaki anafanya shopping mlimani City califonia eti aolewa na Mha wa kigoma ampeleke kibondo shambani walime mawese eti kisa ana mapenzi labda awe amerogwa, hayo ni imaginations za vijana ila sio wewe leta comment za kiume plz.
Sema haujakutana nao au haujawahi kuona ila usiseme hawapo. Haya mambo mimi sijaambiwa nimeyaona kwa macho yangu mawili nimejionea.
 
Haya mambo ya chunguze zaidi mkuu, wanawake 90% wanaolewa kupata raha, unafuu wa maisha kufidia walivyo kosa kwao sio kwa ajili ya mapenzi, mapenzi yao yanakuja baada ya kupata hayo
 
Ukipata mtu ambaye sio sahihi kwako na imani yake na matendo yake yake yakawa hayampendezi Mungu. Hayo ndio yatakayompata mwanaume.
Kuwa na fedha sio kukupa furaha kwenye ndoa yako, pesa ni sehemu tu. Wapo watu wana pesa za kutosha na ndoa zinawapelekesha sana na wengine wameamua kuishi maisha ya hovyo bila kuwa na mke rasmi.
 
Katika ndoa pia pesa is not "every thing" kama unapata huduma zingine kwa mkeo acha kumuomba omba pesa yake na usikasilike akikunyima endelea na kumpenda na kuajibika tu huo ndo uwanaumme.
 
Back
Top Bottom