YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uko sahihi mtu kwao kazaliwa porini wanatumia vibatari na nyumba ya nyasi anafika mjini anataka kuoa mwanamke alizaliwa katikati ya jiji ghorofani kwenye umeme masaa yote maji hakuna kwenda ku chota maji mtomi yako ndaniSasa hapo ndo uwe na low expectation ktka kwa mke tena tafuta mke mwenye low profile uenda anaweza kumuudu kwa kiasi hali ikibadilika.
Amekua akiona mama yake akienda saluni nzuri na kununua nguo za gharama leo mtoka porini ohh mimi naona wewe unapenda vya bei kutwa saluni kwani ukinyoa kichwa upara utafariki dunia? Unaanza gubu.Kila kidume aoe saizi yake