Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Vp akifa siku ya 100 kumpeleka getto, utakuwa na la kuwaambia umma?
Au hata ukafa wewe, kwani lazima script iishe kwa mwanamke kufa?

Sijajua kwanini kwenye hii narrative watu wameiweka kwa ku base upande mmoja.

Ni kama mhanga wa kupatwa na kifo anakuwa mwanamke tu.
 
Hahahaha kwa upande wa ke je? Kuna rafkiangu alisafiri mpk Dom kuonana na ki boyfriend chake, sangapi kisianze kutoa povu kama kinakata roho🙆🏽‍♀️

Dah nimecheka kinoma. Watu wana shida zao mnataka kuwapeleka mbio ndefu. 😊
 
Akifa si unatoa taarifa Polisi? Kwani ukimpeleka wapi ndiyo anakuwa na immunity ya kifo?
 
Au hata ukafa wewe, kwani lazima script iishe kwa mwanamke kufa?

Sijajua kwanini kwenye hii narrative watu wameiweka kwa ku base upande mmoja.

Ni kama mhanga wa kupatwa na kifo anakuwa mwanamke tu.
Mara nyingi mwanamke anakuwa na kawaida ya kwenda kwenye nyumba ya mwanaume ndy mana Sasa ikitokea mwanaume amekufa yeye (mwanamke) anaweza kusimama na kukimbia na Kwa haraka inaweza isijulikane nani aliemuuwa au inaweza isijulikane kabisa lakini akifika kwako vipi utaenda kumtupa?
 
Inapotokea tukio la mtu kufa, uzito wa tukio haupungui kwa kuangalia nani kamfuata mwenzake.

Nachotaka kusema hapa ni kwamba sababu ya kifo ndio inayoweza ku determine hatia ya mtu.

Kwa mazingira haya hata awe mwanamke ndio kafariki lakini kama sababu za kifo chake zitathibitishwa kuwa ni za kiasili hazija sababishwa na mtu mwingine basi msala kwa mwanaume hautakuwepo.
 
Au hata ukafa wewe, kwani lazima script iishe kwa mwanamke kufa?

Sijajua kwanini kwenye hii narrative watu wameiweka kwa ku base upande mmoja.

Ni kama mhanga wa kupatwa na kifo anakuwa mwanamke tu.
Ni upofu wa akili tuu, mtu hawazi kitu kwa akili bali genye tuu
 
Hatari ,mambo ya hussein machozi - Kafia ghetto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…