Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Sikutegemea kama wanadanganya wanafunzi pia! Nilijua ni boda boda tu..
Ila wanafunzi, konyo sana nakumbuka pale shuleni kwetu form 5&6 walikatazwa kupanda juu kwa O level kbs na Enzi zile watu wakubwa kbs.

Ila utasikia fulani na fulani wapenzi jamani mapenzi km maji lazima yapenye tuu manina.
 
Au hata ukafa wewe, kwani lazima script iishe kwa mwanamke kufa?

Sijajua kwanini kwenye hii narrative watu wameiweka kwa ku base upande mmoja.

Ni kama mhanga wa kupatwa na kifo anakuwa mwanamke tu.

inferiority complex tu,
Mtu kajifia mwenyewe kesi wewe inatoka wapi.
 
Katika mazingira yoote ya kufa, kuna asilimia ngapi ya huyo demu kufia ndani kwako? 0.00..% almost zero chance to occur.
 
Shida ipo wapi akifia getto ?

As long as hujamuua na amekufa kwa natural death mbona hakuna shida ,

Si utasema huyu ni mpenzi wangu, ila tulipokuwa ndani aliniambia hajisikii vema , tatizo lipo wapi ?

Japo haupo rasmi kwao … utawaeleza pia ndugu zake …. The same

Tupo kwenye ulimwengu wa science , kifo cha hivo itapigwa autopsy tu na itasema kila kitu , shida ipo wapi unless wewe ni muuaji na umeua

Unaweza kufiwa hata na msela wako ambae amekutembelea getto Kwako , why you should not he concerned na Hilo uwe concerned na demu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…