Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Mimi nilikoma na beki tatu wa nyumba moja ya kibosile mtaani
Nilimleta geto, la kwanza kama kawaida, la pili nikabembeleza jicho nikapewa kiroho safi, ile nimemamaliza, aliaanza kutetemeka mpaka kitanda kinatingishika kama dakika tano nzima, nilichanganyikiwa nikajua huyu anavuta sasa hivi, ile alivyotulia haraka nikamletea chips yai na kipande kuku na pepsi, akala akapoa nikamtoa chapchap, usiku mzima nilikaa macho nawaza tukio.
 
maliza story nini kilifata
 
Ulikula jicho la beki tatu? Ana umri gani huyo beki tatu? Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…