Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa!

Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
Nina watoto wa 4
1. Mama ake
2. Mapacha mama yao
3. Binti mama ake

Nimezaa na wanawake wa4 na nimemaliza kuzaa.

Shida iko wapi??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Shida itakuwa kwenye malezi unajua mtoto ambaye unaishi nae hawezi kufanana na mtoto ambaye Yuko nje mara nyingi atakuwa analelewa na baba wa kambo au single mother Kuna namna kama Baba unakosa mamlaka juu ya huyo mtoto. Kuhudumia pekee haitoshi inabidi uwe karibu na mtoto zaidi.
 
Nawalea tu, Wote si wanangu?
Lazima Kuna kitu kitakosekana na ndio maana Mimi sipendi niwe na mtoto nje ya ndoa namna ambavyo utakavyomlea mtoto ambaye upo karibu nae ni tofauti na wa nje ambaye unakosa mamlaka kamili ambayo yanabaki kwa baba wa kambo na mzazi mwenza wako
 
Kwenye mtazamo, kuna jambo nataka kuweka..

Wewe inabidi tukupe verse ya 4 kwenye remix
 
Katika kosa ninalolijutia ni hili, huwa linanipa mateso makubwa sana.

Ukizaa nje ya ndoa halafu mzazi uliyezaa naye akawa hana akili timamu na adabu atakutesa kama una familia stable bora hata asiijue tu.
Anayekutesa ni mwanamke siyo mtoto
 
Katika kosa ninalolijutia ni hili, huwa linanipa mateso makubwa sana.

Ukizaa nje ya ndoa halafu mzazi uliyezaa naye akawa hana akili timamu na adabu atakutesa kama una familia stable bora hata asiijue tu.

Ukitaka mwanamke kichaa asikutese usionyeshe kujali kuhusu mtoto wake.

Mwambie huyo ni kama zawadi, akikaa naye atamtunza mwenyewe. Ukikaa naye unamtunza wewe.

Hataki mwambie aende ustawi wa jamii huko mtakutana.
Bahati nzuri Kila mmoja anaowajibu wa kumtunza mtoto sio baba tuu.
 
Mtu akizalishwa nje ya ndoa anatakiwa aijue oosition yake na aplay lowkey.
Sasa ukikutana na mpuuzi inakuwa tafrani tupu.
 
Jamaa anatuletea vitisho vya ajabu,mimi ninako kamoja ka nje na ntaongeza kamoja.

Back
Top Bottom