Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Mtu kama huyu mkiachana atakupotezea sana muda mahakamani kisa mali na ukishinda atakata rufaa na hapo utakuta anqgombea kajumba ulipewa na babu yako
 
Unasema wanawake tumekaa kitapeli wkt kataa ndoa wengi ni wanaume.Na hoja yao ni kuhofia kutapeliwa mali zao ila huoni kama wanachekesha wala kukaa kitapeli ila kisa binti kiziwi na mm ni wanawake tukihofia tumali twetu kutapeliwa unatuona tunachekesha na tumekaa kitapeli.
 
Ukifika umri kidushe chako hakisimami starehe yako ingine itakua nini?
 
kumbe hawa kataa ndoa ni makapuku tu.
Anyway,ndoa yenye amani ni kitu kizuri sana
 
Okay.

Hakika wanasheria watusaidie hii ni elimu muhimu.

Hiyo 50 50 hata mm sikubaliani nayo.
Sio fair.
 
Unajua kwa nini wanakimbia?
Kwasababu mali tunatafuta sisi wenyewe then nyie mnatuchukulia nusu na bado watoto tuhudumie sisi
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
Tunapaza sauti kama hivi japo ni ngumu kupata support ya wanawake wengi.Wengi wanafurahia sheria hz kandamizi kwa mwanaume coz zinawanufaisha.
 
Unadhani watu wengi wanaojiita kataa ndoa, na watu single, wanapenda kuwa single? Ni maisha tu yanawalazimisha kuwa hivyo

Kupata life partner mtakaeendana sio rahisi kwa watu wengi..tena mahusiano mengi sikuhizi yanaishia kwenye talking stage prida
I know dear ila basi iwepo nia ya kujaribu.Na pia kama mtu amekata tamaa kabisa ya kupata mwenza sahihi basi asiiwakatishe moyo wengine wenye matumaini ya kupata wenza sahihi.Utamaduni wa kuishi pekee pekee sio mzuri ila kama mtu kajikuta maisha yamefosi aishi alone hapaswi yeyote kumhukumu
 
Kwa maelezo yako, inaonesha ni kwa jinsi gani hizi sheria za kizungu zilikuja kuharibu taasisi ya ndoa.

Mambo ya "Haki sawa kwa Wanawake" yalipaswa yaje na "Inclusive" and "Exclusive" "Factors" endapo ndoa itaenda mrama.

Mnachokifanya nyie na huyo jamaa yako ni ndoa ya kimila, ambapo mwanaume anaenda kutoa mahari kisha mnaanza kuishi pamoja.

Kimsingi kwa ustawi mpana wa jamii zetu, inatubidi turudi nyuma kwenye mifumo ya zamani tuchukue mazuri tuishi nayo, kisha tuende kwenye uzungu tuchukue mazuri yao nayo tuishi nayo.

Nakazia, Maisha ya ndoa ni matamu sana, asikudanganye mtu.
 
Unajua kwa nini wanakimbia?
Kwasababu mali tunatafuta sisi wenyewe then nyie mnatuchukulia nusu na bado watoto tuhudumie sisi
VP ikiwa mwanamke ndo anafanya hayo?
 
Unajua kwa nini wanakimbia?
Kwasababu mali tunatafuta sisi wenyewe then nyie mnatuchukulia nusu na bado watoto tuhudumie sisi
VP ikiwa mwanamke ndo anayefanya hayo uliyoyaorodhesha?
 
Nakataa ndoa sioi kamwe saiv na watoto wawili na ninaenjoy life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…