Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Inatakiwa u control emotions zako dogo wakati wa kujibu,una jam sana bila kutafakari impact za majibu yako namna yanavyoweza kumfanya mumeo aonekane ashole
nilipinga kauli kuwa niko na mume wangu ili nimtumie kutafuta heshima kwa kusema na mm nina mume huyu hapa.Ndo nikasema msingi wa kuwa na mume wangu ni mapenz tu na sio kitu kingine chochote.Nikasema kama ni heshima tayr ninayo na haitokan na mm kuwa nae.

MImi naamini mtu hatakiwi kuwa na mume kwa sbb nyingine yeyote ile zaidi ya mapenzi.Ningekua simpendi mume wangu nisingekubali kuishi nae.
 
Upweke unaua.
Stroke na moyo nje nje
 
You sound triggered but I will ignore that for a moment. Baadhi ya vitu umetaja kwenye hii comment yako nina uzoefu navyo wa moja kwa moja. I raised very specific points kuhusu happiness na upweke. Rejea hoja zangu, then zijibu moja baada ya nyingine ukiweza. One more comment: Je unajua kwamba depression rates na sera za kuhudumia vulnerable populations wakiwemo wazee nchi za magharibi zinatofautiana sana kati ya nchi na nchi. Sasa mtu unayeamini sayansi unaanzaje kukumbatia mawazo jumuishi kama hayo uliyoyaeleza kwenye comment yako hii? Don't you know that you are misleading?
 
Hilo la tofauti ya rate ya nchi na nchi naijua ndo mana nikasema kabisa HASA NCHI ZENYE BARIDI na zenye tamaduni za kutochangamana ktk maisha ya kila siku.

Mfano Spain hawana upweke ukilinganisha na nordic countries.
 
📌🔨🔨🔨KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

mtoa mada wewe ni mamluki nimepitia PDF ya 2026 wewe haupo na chama hakikutambui.

Kataa ndoa ni itikadi thabiti yenye mizizi tangu karne ya 16.Hivyo usijipe umuhimu wewe endelea na ndoa huku hapakufai.Na hatukuhitaji.

CC; MWENYEKITI KATAA NDOA TANZANIA BARA Senior COMRADE dronedrake.

MAKATIBU WOTE KATAA NDOA KATIKA MATAWI YOTE YA BARA NA VISIWANI.
 
Hilo la tofauti ya rate ya nchi na nchi naijua ndo mana nikasema kabisa HASA NCHI ZENYE BARIDI na tamaduni za kutochangamana ktk maisha ya kila siku.

Mfano Spain hawana upweke ukilinganisha na nordic countries.
Spain (one country) vs Nordic countries (several countries). Not a fair , much less a scientific, comparison. Tuachane na hilo. Sasa hebu niambie msingi wa wewe kulinganisha depression/upweke rates kati ya nchi zote za "Ulaya" na nchi za 'Africa"? Unafananisha nchi za bara ambalo zipo taarifa za kuaminika kuhusu depression na nchi za bara ambalo tafiti za kuaminika kuhusu depression ni karibu hazipo. Seriously?
 
Nilishapenya huko siku nyingi.
Infact,Iam the main and only sponsor wa hichi chama.
Usione nimetaka pafanyike marekebisho ukadhani nakurupuka.
Iim de don wa chama😃.

Actuare,nikiamua ufukuzwe chamani unafukuzwa ila huna madhara no need😃.
 
You right
Tuanze lini na turudi lini sasa.?


Na tuombe kabisa mods tukija na parody watuumbue.
So no parody(kama lipo).
HIi ni kukuonyesha vile nakupenda na kukujali mdogo wangu.🙏🪷🌺
 
unakaa serious kabisa una preach uzinzi..??
Lakini nakuelewa, hakuna kitu kibaya kama Guilty Consciousness, inakutafuta vibaya sana na the only way to feel safe ni kuanza kutafuta sababu za ku-justify uhuni unaofanya. SOGEA TUKAE sio ndoa hata kama you are more than happy. SOGEA TUKAE haikupi benefit zozote zinazopatikana kwenye ndoa. Ni uhuni tu kama uhuni mwingine wowote. Kuna siku jambo litakukuta na utakumbuka huu ushauri. Kama mnapendana sana si mkafunge ndoa tu, Ndoa sio sherehe ni kiapo tu na kuhalalisha mambo ili mjulikane kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…