Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Wanawake wenye miaka 30+ wana haraka sana na maisha, maana kila kitu wanaona wamechelewa. Ila wanakuwa tayari wamefanya kila kitu
 
Watu wameshikilia tu binti wa miaka 19 hajapevuka sijui hakuna cha kuongea nae. Kwani uko ndoani mwanamke anaenda kuwa CEO wa benki au lecturer wa advance mathematics?

Binti wa miaka 19 ashaanza kutombwa, kazi zote za nyumbani anazijua kwa ufasaha, sasa huyu utoto wake uko wapi.
Nashangaa, jamii ya sahivi mwanaume uki-date na binti wa form 3 au form 4 una uwezekano mkubwa wa kwenda jela kuliko ukiwa shoga, au ukifumwa unamla shoga, case in point James delicious, si aliwekwaga lock up sababu ya yeye kuwa shoga, sahivi yupo mtaani Natafuta Ajira
 
Sure wengi hawakubali ila wakifika 30 wanalalamika wanaume waoaji hakuna ,Nina demu Yuko 24 nataka kumuoa tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na miezi mitatu na tumetambulishana home ila mpka Leo suala la kumtolea mahari na kumvisha Pete anapiga chenga
Mchunguze vizuri, ana mwanaume/wanaume mwingine huyo ambao anawategemea wamuoe Ravalomanana
 
Mgonge tu then muache
Sure wengi hawakubali ila wakifika 30 wanalalamika wanaume waoaji hakuna ,Nina demu Yuko 24 nataka kumuoa tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na miezi mitatu na tumetambulishana home ila mpka Leo suala la kumtolea mahari na kumvisha Pete anapiga chenga
 
Wanawake wenye miaka 30+ wana haraka sana na maisha, maana kila kitu wanaona wamechelewa. Ila wanakuwa tayari wamefanya kila kitu
Ni kweli iyo ukiwa nae ataanza kukupa presha ya kutaka ndoa wakati bado unahitaji muda wa kumfanyia vetting halafu wewe ndio kwanza umeingia kwenye peak yako wakati mwenzako tayari ashafanya michezo yote
 
Nashangaa, jamii ya sahivi mwanaume uki-date na binti wa form 3 au form 4 una uwezekano mkubwa wa kwenda jela kuliko ukiwa shoga, au ukifumwa unamla shoga, case in point James delicious, si aliwekwaga lock up sababu ya yeye kuwa shoga, sahivi yupo mtaani Natafuta Ajira
Mambo ya kawaida tumeyafanya kuwa mabaya halafu mambo mabaya tumeyafanya kuwa ya kawaida
 
Sure wengi hawakubali ila wakifika 30 wanalalamika wanaume waoaji hakuna ,Nina demu Yuko 24 nataka kumuoa tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na miezi mitatu na tumetambulishana home ila mpka Leo suala la kumtolea mahari na kumvisha Pete anapiga chenga
Mmeungwa wengi hapo kila mmoja anahitajika kwa wakati wake
 
Nani kakuambia ndoa za wanawake wasomi ndio zinasumbua. Ndoa hazina formula, wako wasomi wengi tu wameolewa na wana ndoa nzuri na wapo wa darasa la saba ndoa zimevunjika.
Kwa mfano, kati ya kaka zangu ambao walioa bikra na darasa la saba ndoa zimevunjika siku nyingi na wamebaki kulea watoto, lakini waliooa wasomi mpaka leo ndoa zina miaka 30 na wana wajukuu na wapo vizuri na wana maendeleo kuliko hap wengine.
Ila ungekua mwanaume ungependa kuoa yupi, pisi unakuta ilivokua na miaka 19-23 haitaki kuolewa inakutana na mabalaa na mishomboko ya kina bolotoba, halafu wakifika miaka 28-30 wanataka waolewe na kina fanton mahal, ww umeonea wapi hiyo Nashengena Fanton Mahal Bolotoba BICHWA KOMWE -
 
Mungu anaingiza mkono wake baada ya binadamu kufanya kile anachowajibika kukifanya, mfano una matarajio ya kuwa na watoto oa mwanamke mwenye umri mdogo ambae kizazi chake bado kipo active halafu baada ya hapo muombe Mungu akujalie watoto, sasa unaoa mwanamke wa miaka 30+ ambaye mayai yashakauka hapa ni kumpa Mungu kazi ya ziada.
Kuna tafiti nmeona kuna mwaka kama si huu basi jana, wanawake wenye 40's ndo wameongoza kugive birth kuliko age range yoyote
 
Jifundishe mwenyewe sie tunaringa tuu ndoa zetuuuu!!!!!😍😍😍😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom