Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Unaoa Binti wa miaka 21 chuchu Dede anavutia sio unaoa mtu wa miaka 30 kifupi huyo anakuwa ni mke wa watu.... Amenyunduliwa mpaka anajua kila size 😂😂😂
 
Kama uneoa sababu ya chuchu dede una hasara. Baada ya kumzalisha mnaanza kutafuta Chuchu dede nyingine huko nje.
 
Hata nikimzalisha naweza kuwa mwaminifu kwake kwa sababu najua amenyonyesha mtoto wangu, lakini kuoa mwanamke mtindi ushaanguka kama kandambili za gesti kwa kunyonyesha wanaume watu wazima na watoto ambao sio wangu iyo hapana
 
Kwaiyo wewe mwanao hutampeleka chuo ili asitombwe?
Wanatudanganya tu hawa. Wanaume wengi siku hizi wako busy kusomesha watoto wao wq kike ili wawe na kipato. Wanachangamsha genge tu hapa.
Vijana wengi wa kiume ni wa hovyo halafu wanataka mabinti waliotulia , mtawatoa wapi? Ngoma droo.
 
Tatizo hawajiamini ndio maana wanataka wa kuwaburuza.
Sasa tayari ishakua prove beyond doubt kwamba ndoa za wanawake wasomi ndizo zinasumbua zaidi. Unataka nijiingize hatarini kwa sababu tu mimi ni mwanaume? Wanaume pia tunahitaji kuhishi vizuri, hatujaja hapa duniani kuteseka tu na kuangaikia wanawake.
 
Nani kakuambia ndoa za wanawake wasomi ndio zinasumbua. Ndoa hazina formula, wako wasomi wengi tu wameolewa na wana ndoa nzuri na wapo wa darasa la saba ndoa zimevunjika.
Kwa mfano, kati ya kaka zangu ambao walioa bikra na darasa la saba ndoa zimevunjika siku nyingi na wamebaki kulea watoto, lakini waliooa wasomi mpaka leo ndoa zina miaka 30 na wana wajukuu na wapo vizuri na wana maendeleo kuliko hap wengine.
 
Wanatudanganya tu hawa. Wanaume wengi siku hizi wako busy kusomesha watoto wao wq kike ili wawe na kipato. Wanachangamsha genge tu hapa.
Vijana wengi wa kiume ni wa hovyo halafu wanataka mabinti waliotulia , mtawatoa wapi? Ngoma droo.
Yaa anasubiri afike miaka zaidi ya 30 na kuendelea aje aoe katoto hao mabinti aliyekuwa anatembea nao muda wote huo wako wapi?
 
Nani kakuambia ndoa za wanawake wasomi ndio zinasumbua. Ndoa hazina formula, wako wasomi wengi tu wameolewa na wana ndoa nzuri na wapo wa darasa la saba ndoa zimevunjika.
Kwa mfano, kati ya kaka zangu ambao walioa bikra na darasa la saba ndoa zimevunjika siku nyingi na wamebaki kulea watoto, lakini waliooa wasomi mpaka leo ndoa zina miaka 30 na wana wajukuu na wapo vizuri na wana maendeleo kuliko hap wengine.
Mimi naongelea takwimu za kesi za talaka, wewe unakuja na mfano wa kwenye familia yako. Fuatilia migogoro ya ndoa ustawi wa jamii na takwimu za masuala ya talaka utaona shida nyingi zinatoka kwenye za wanawake wasomi.
 
Unaoa Binti wa miaka 21 chuchu Dede anavutia sio unaoa mtu wa miaka 30 kifupi huyo anakuwa ni mke wa watu.... Amenyunduliwa mpaka anajua kila size 😂😂😂
Mishangazi ya 30+ haitaki kukubali imepitwa na wakati. Wanataka ligi na watoto wa 2000
 
Mimi naongelea takwimu za kesi za talaka, wewe unakuja na mfano wa kwenye familia yako. Fuatilia migogoro ya ndoa ustawi wa jamii na takwimu za masuala ya talaka utaona shida nyingi zinatoka kwenye za

Mimi naongelea takwimu za kesi za talaka, wewe unakuja na mfano wa kwenye familia yako. Fuatilia migogoro ya ndoa ustawi wa jamii na takwimu za masuala ya talaka utaona shida nyingi zinatoka kwenye za wanawake wasomi.
Weka takwimu hapa. Naanza na ushahidi wa familia, tuliomaliza nao chuo na wengine wengi nawafahamu wako kwenye ndoa zao nzuri tu.
 
Ndo ivo pisi ina kibunda chake utaiburuza vipi, maana siku hizi pisi zenye miaka zaidi ya 23 unakuta nyingine zishajipata.
Mmetilia sana mkazo kwenye kibunda na kumburuza mwanamke, wakati suala la kumzidi mwanamke miaka mingi mimi hoja yangu nimelenga kwenye mambo mengi

kuna biological clock mwanamke mwenye miaka 30 tayari ashaingia kwenye declining stage linapokuja suala la kushika mimba kwaiyo kama mwanaume una mpango wa kuwa na watoto maana yake iyo sio sample ya kuoa.

Kuna hoja nyingine mwanamke wa miaka 30 tayari ashapitia misukosuko mingi kwaiyo anaishi na baggages na regrets nyingi huyu sio mwanamke ambaye utaweza kutengeneza nae bond, because of her traumas she will always look at you as a suspect.

Pia kuna ishu ya mitazamo ya kimaisha, mwanamke ambaye umemkuta ana miaka 30 huyu tayari ana mtazamo wake tofauti kabisa na wewe. Kuingia kwenye ndoa kila mtu ana mtazamo tofauti wa kimaisha ni risk kubwa sana.

Mmekazania suala la kumburuza mwanamke wakati mimi sijaliongelea popote kwenye hoja yangu. Mke wangu ni mama wa nyumbani nimemzidi miaka 10 na namuhudumia kwabkila kitu, na hakuna siku ambayo nimemburuza
 
Kumbe hata takwimu huna. Loh
Izo takwimu kuzipata ni mpaka nipitie kwenye tovoti za masuala la ustawi wa jamii nisome ripoti zilizochapishwa, ukizingatia leo ni siku ya kazi na nipo ofisini kwaiyo nakosa muda.. ndio maana nikakwambia zitafute. Kama hauwezi basi nikumbushe siku za wikiend kuanzia jumamosi jioni na jumapili nitakutafutia izo takwimu
 
Ni vigumu kupata hizo takwimu maana unapofungua shauri sidhani kama kuna kipengele cha elimu.
 
Back
Top Bottom