Kibiblia, ndoa ni pale ambapo mwanaume amemtolea mahari mwanamke na mwanamke huyo akaridhia pamoja na familia yake kumkabidhi kwa mwanaume huyo.Umenielewa mkuu?. Ambacho tunakipinga ni ile mkataba wa ndoa. Masuala ya kulea watoto yanawezekana bila kusaini ule mkataba.
Spiritually ndoa inaanzia hapo ila agano linakuja kufungwa pale ambapo wanapokutana kimwili. Hii ndio asili ya ndoa ambayo Mungu aliinzisha.
Yusufu aliazimia kumwacha Maria, malaika akamwambia asimuache mkewe, sasa kwanini Maria aitwe mke wakati alikuwa ameposwa tu? Shetani amejaribu sana kugeuza nature ambayo Mungu alituwekea. As usual, ili kupitisha ajenda zake duniani, akatumia jinsia ile ile iliyoleta dhambi duniani.