Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Nani kasema unakojoa kwa kuchuchumaa TUMPIGE?Mkuu tuheshimiane mimi sikojoi kwa kuchuchumaa
Nani kasema unakojoa kwa kuchuchumaa TUMPIGE?Mkuu tuheshimiane mimi sikojoi kwa kuchuchumaa
MEN DONT FALL FOR SUCH A CRAP.Uzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
Huyu mpigania UHURU(RETIRED SOLDIER) singe ya gobore imemchoma kwenye dole gumba👏👏👏👏Imekuuma hehe kamemchoma
👏👏👏MAUMIVU NDIO LENGO HASA MUUMIE MFEE KABISA😀😀😀Imeniuma sana, najua maumivu ya wanawake ambao hawajaolewa...
Nikiwa kama mama mchungaji wa JF
Kaoe gumegume sasa.Kupanga ni kuchagua.Daah mzee Sadio Mane?? Ukwasi wa yule mwamba unaufananisha na huku kajamba nani?
Na ndio shida ni malezi, we angalia tu mabinti wengi wenye miaka 18 wanavyobehave, umuweke awe mama wa familia, kwamba wewe haupo yeye ashike usukani, aloo.
Ukiona umeshushiwa heshima angalia ushubwada ulippost labda hukojoi kwa kuchuchumaa ila unabehave kama wao.Mkuu tuheshimiane mimi sikojoi kwa kuchuchumaa
Endelea kukaza kichwa,nyie ndio fungu la kukosa la magumegume na masingo maza, pumbavu!!!Miaka 18-23 hao wote ni wanafunzi labda kama unashauri kuoa wale walio kosa fursa kwenye Elimu
Unaaproach type gani au ndo hao walioaribikiwa.Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Mane ni mfano wa haraka kwa sababu ni maarufu lakini wapo wengi wanaofanya kama mane. Offcourse mwanaume kabla ya kuoa lazima uwe na stable income lakini sio lazima uwe na ukwasi kama wa mane. Bintinwa miaka 18 ni mkubwa malezi yetu ya kisasa ndio tatizo. Generation tuliyopo tuna wanawake mpaka wa 30+ wakiwa kwenye mitoko yao wenyewe wanaita girls trip wana-behave kama mabinti wa miaka 15Daah mzee Sadio Mane?? Ukwasi wa yule mwamba unaufananisha na huku kajamba nani?
Na ndio shida ni malezi, we angalia tu mabinti wengi wenye miaka 18 wanavyobehave, umuweke awe mama wa familia, kwamba wewe haupo yeye ashike usukani, aloo.
Mwanaume kama akili yako bado haikutoshi unataka na akili ya mwanamke,wewe unashida wewe ni SIMP anza kuhudhuria VIKAO.Binafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
Type yangu kwasababu Ninafanya kazi ya bajaji egesho langu liko maeneo ya Chuo, kwo huwa natongoza aidha graduates, au wanafunzi ambao ni continuousUnaaproach type gani au ndo hao walioaribikiwa.
Ukitaka mke wahusishe watu wazima au nenda mikoa kama TANGA.Ila ukitaka demu wa kupiga ingia mzigoni mwenyewe.
Anafinyangwa na wazazi wake, mimi nitamfinyanga binti yangu.Kaoe gumegume sasa.Kupanga ni kuchagua.
Mpaka umri huo uliofikia kama bado hujui mwanamke anavibe na kunata na biti lako.Wewe achana na mapenzi kafanye ishu zingine.
Wanaume wavivu kama wewe ndio hamtaki kuwafinyanga wake au mademu zenu wakae mkao.Nyie mnataka ready made,haya subirieni tuwale na kuwafinyangia nyie mtakula MAKOMBO!!!
Wasisitizeni mabinti wadogo waitumie vizuri prime age yao ili iyo circle isiendelee. Wasijilinganishe na wanaume. Mwanamke ana miaka 10 tu ya kusumbua kwenye dating pool lakini mwanaume ana miaka zaidi ya 40
Sasa uyo miaka 21 hawezi kuwa na tabia mbovu? Halafu tunavyosema iyo interval ya umri hatumaanishi kwamba usiangalie vigezo vingine mfano tabia.Anafinyangwa na wazazi wake, mimi nitamfinyanga binti yangu.
Yaani nichukue kidemu chenye tabia mbovu kisa kina 18 yrs?? Si ntakua mwehu, ati nikifinyange kwani hakina wazazi.
Kama una mtoto wa kike mlee vizuri akifika 21 niite nije kuoa, sawa.
Umevumilia umeshindwa umeamua ujianike🤣🤣🤣🤣Hapo ukute ana ndugu wanazeekea tu nyumbani hata kuolewa hawaolew kutwa thread za kusimanga wanawake sijui nani kamuumiza
Achana huyo SIMP kazoea vya kunyonga😀😀😀Sasa uyo miaka 21 hawezi kuwa na tabia mbovu? Halafu tunavyosema iyo interval ya umri hatumaanishi kwamba usiangalie vigezo vingine mfano tabia.
Hii mada imekuzidi kimo.Keep SIMPING hapo ndipo eneo lako la kujidai!!!Anafinyangwa na wazazi wake, mimi nitamfinyanga binti yangu.
Yaani nichukue kidemu chenye tabia mbovu kisa kina 18 yrs?? Si ntakua mwehu, ati nikifinyange kwani hakina wazazi.
Kama una mtoto wa kike mlee vizuri akifika 21 niite nije kuoa, sawa.
Huna uwezo wa kupata kitu bora kwa hiyo sample space yako!!!Type yangu kwasababu Ninafanya kazi ya bajaji egesho langu liko maeneo ya Chuo, kwo huwa natongoza aidha graduates, au wanafunzi ambao ni continuous
GRAND SIMP👏👏👏👏Ningependa kujua kama alietoa ushauri huu kaoa? Ulioa binti miaka hiyo? Unazoefu kwenye ndoa kwa mda gani? Mimi nilioa rafiki yangu wa mda mrefu niliyemzidi 1 year sijawahi kukutana na mtu mwenye kunipa amani kama yeye mwaka wangu wa 6 ndoani na makids