Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids

Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Siyo wanajiona wadogo, hao bado kiakili ni wadogo sana ingawa kimwili wanaonekana ni wadada wakubwa. Na ndoa zao, hasa kama hawajamtanguliza Mungu, huwa zina mitihani mingi sana.
 
Siyo wanajiona wadogo, hao bado kiakili ni wadogo sana ingawa kimwili wanaonekana ni wadada wakubwa. Na ndoa zao, hasa kama hawajamtanguliza Mungu, huwa zina mitihani mingi sana.
Mbona mama zetu waliolewa kwenye umri wa 16-21 mzee and kila kitu ikawa mkao
 
Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.

Hao wanawake mnaowatetea wanapigania ndoto zao embu wafuatilieni trend ya mahusiano yao inaendaje. Mtu kama gigy money akifika 30 atasema amepevuka kiakili na kuna ambao mtamuita matured woman




"Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.

Hao wanawake mnaowatetea wanapigania ndoto zao embu wafuatilieni trend ya mahusiano yao inaendaje. Mtu kama gigy money akifika 30 atasema amepevuka kiakili na kuna ambao mtamuita matured woman."


📌📌📌📌BAMPA TO BAMPA NA VICHWA PANZI NI MWENDO WA KUWASOGEZEA POINT ZILE 🔥🔥🔥🔥🔥KUNTU DE CONSCIOUS.
 
Kataa ndoa hatupingi kuwa na familia, hatupingi mtoto kupata malezi ya baba na mama, ambacho tunakipinga ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la "ndoa"



"Kataa ndoa hatupingi kuwa na familia, hatupingi mtoto kupata malezi ya baba na mama, ambacho tunakipinga ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la "ndoa"."

📌📌📌vichwa panzi mukuyemukuye leo bampa to bampa ni mwendo wa point zile🔥🔥🔥
 
Mbona mama zetu waliolewa kwenye umri wa 16-21 mzee and kila kitu ikawa mkao
Kwanza walikuwa na mifumo imara ya kuingia kwenye ndoa. Familia inamfuatilia binti mwanzo mwisho na wazee wanajua tabia na kila kitu kuhusu binti anayeolewa. Mara nyingi unakuta binti ni bikra na mumewe anakuwa ndiye anayemjua for the first time. Pili kumbuka mama zetu hawakuwa na milolongo mirefu ya elimu kuanzia sekondari mpaka chuo. Kingine zamani ilikuwa ukioa kijana anaishi pale kwa wazee wake kwa kipindi fulani, jambo ambalo linawapa muda wa kufundishwa misingi ya maisha ya ndoa. Je miaka hii hayo yapo?
 
📌📌📌poor you bodaboda guy!!!


Siku ukiacha kuendesha bodaboda ukaacha kuvuta petroli iliyopo hapo kwenye tenki la mafuta.Urudi usome madini anayotoa huyo mwamba kisha utayaelewa.
Nashukuru mkuu🙏boda boda nayo ni kazi siombi kwa mtu
 
  • Usichojua ni kuwa at 40`s wanawake ndo wako na njaa na sex kuliko rika zote.
  • Na usichojua ni kuwa at 40`s wanaume wengi tezi dume linaanza kusumbua kidogo kidogo, at 50`s na kuendelea hapo hata hiyo sex yenyewe inakuwa adhabu. Sasa uko na 50+ na tezi dume lako, mkojo kutoka mpaka ujiminye misuli halafu mkeo ndo ana 40, ndo mwishowe anakuwa lishangazi mjini.
Bado sio kigezo cha kwenda kulipia mahari kwa MPIGANIA UHURU/VETERAN SOLDIER/ RETIRED BED TO BED MIDFILDER WITH EMOTIONAL LAGGAGE NA TRAUMA PLUS AMEPIGWA MECHI ZA KATA FUNUA NJE NDANI.AMESUCK DICKSOME NA MABORINGO YA KILA AINA NA MAFUSI YALIKUWA YANAINGIA MPAKA KWENYE MENO ANATOA NA TOOTHPICK,AT ONE POINT KUNA EX WAKE MMOJA AU WATATU WALIMYAS BY MIX🤗🤗🤗.MEEEEEEEEENNNN!!!!NEVER EGNORE 🚩🚩
 
Mwanaume hana menopause. Baba yangu kapata mtoto wake mwingine (sina uhakika kama ni wa mwisho) akiwa na miaka 64. Jikumbushe Reginald Mengi pia.
Nimetumia ilo neno "menopause" kwa sababu ni rahisi kueleweka tofauti na ningesema andropause wengi wasingenielewa. Miaka 60 tayari mwanaume kaingia andropause ingawa kuna exceptions cases but we don't do generalization based on exceptions.
 
Back
Top Bottom