Familia kwangu ni kitu muhimu kuwa na mke pia sisapoti kataa ndoaHuo ni mtazamo wako
Familia kwangu ni kitu muhimu kuwa na mke pia sisapoti kataa ndoaHuo ni mtazamo wako
Ndugu tumefunga kwaresma et miaka 30 ni mpigania Uhuru duh noma kweliWatakuja.. mmoja mmoja watakusema..
Niongezee hapo, unaoa huyo mpigania uhuru akiwa na Mtoto wa Mwanaume mwenzio ambae yupo hai..
Ha ha ha haBasi oa wa miaka 67
Ha ha ha yaani japo tuko kwaresma na ramadhan huyo mwamba anawaita wenzake wapigania uhuru duuh ha ha haNdugu tumefunga kwaresma et miaka 30 ni mpigania Uhuru duh noma kweli
Nipo mamiii,, uvivu tu wakuingia humuOyaa we Pampulaa ulifia wapi asee 😂😂
Kama limenyooka linanilewa mbona fresh tu,Basi oa wa miaka 67
Nakaziaaaa.Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Mimi mwanamke nilieshi nae 8 yrs nimemzidi miaka mingi sana, kwa kifupi vitoto hvyo ulivyosema vina matatizo mengi sana,,kwanza kabisa kuhandle pressure na matukio haviwezi,vinapanic mnoo... Matukio kadhaa tu kishachoka🤣🤣Tuna-share maarifa tu kulingana na uzoefu na shuhuda zetu, hatuwekeani sheria za kuishi. Mwisho wa siku kila mmoja atafanya maamuzi kwa mustakabali wa maisha yake, na kila mmoja atakababiliana na consequencies za maamuzi yake
Kama Baba wa mtoto kafa, sioni shida kuoa.Vijana mnakosea, kuoa single mom ujue unaoa mke wa mtu. Ukiwa tayari kwa Hilo single mom ni wanawake wazuri Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Kwa nguvu looohHavinaga chachu yoyote zaidi ya kuita beibii bila sababu za msingi[emoji16][emoji16]
Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasure![]()
Uyo ni mjane sio single motherKama Baba wa mtoto kafa, sioni shida kuoa.
Kwenye kikao cha ukoo tuna baba yetu mdogo yeye na mke wake wanaitana beibiii na hawana hata pesa, wanaharamu mule wao ni kumchora na kumcheka tu,huwa najisikia vibaya kwa ajili yake hajui tu😆😆Thubutu hiyo age nimepita mahesabu yangu yanacheza mbali [emoji3][emoji3][emoji3] mtu mzima mwenzangu namuitaje baby[emoji3][emoji3]
Hii MADA yako ihifadhi mbeleni huko ukizaa watoto wa kike tupu utaikumbukaNyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Hatuwez tetea ujinga chiefHii MADA yako ihifadhi mbeleni huko ukizaa watoto wa kike tupu utaikumbuka
Nyie wanaume mnaonaga Raha kuitwa beib utadhan mnapewa Dunia nzima 😀Kwenye kikao cha ukoo tuna baba yetu mdogo yeye na mke wake wanaitana beibiii na hawana hata pesa, wanaharamu mule wao ni kumchora na kumcheka tu,huwa najisikia vibaya kwa ajili yake hajui tu😆😆
Point ipo hapo kwenye kumzidi miaka mingi. Nimelenga iyo interval ya 18-23 ili kuendana na kijana wa kiume ambae yupo 30's ambapo wengi hapo ndipo wanapoanzisha familia lakini haimaniishi kwamba hata ukiwa na miaka 50 ndio uchukue binti wa miaka 19. Unaweza kuongeza kadili umri unavyosogea mfano kama upo late 30's unaweza kupanda mpaka kwa mwanamke wa miaka 26 hiviMimi mwanamke nilieshi nae 8 yrs nimemzidi miaka mingi sana, kwa kifupi vitoto hvyo ulivyosema vina matatizo mengi sana,,kwanza kabisa kuhandle pressure na matukio haviwezi,vinapanic mnoo... Matukio kadhaa tu kishachoka🤣🤣
Sio kweli mmatumbi akiniita beibii nashika visarafu vyangu kama vipo, mimi na ubeibi gani zaidi ya ujambazi tu?Nyie wanaume mnaonaga Raha kuitwa beib utadhan mnapewa Dunia nzima 😀