25,26 hapoUnashauri mwanaue mwenye miaka 45 aoe mwanamke mwenye umri upi?
25,26 hapoUnashauri mwanaue mwenye miaka 45 aoe mwanamke mwenye umri upi?
ni kweli, wanawake ni liability, relationships are expensive. Kwenye haya masuala ya uchakataji mbususu kijana wa kiume ni vyema ukafanya kwa kiasi ambacho hakikukwamishi kiuchumi. Kumbuka nyakati zako za uzee ni hazina yako iliyopo benki tu ndio itakulinda, wakati huo watoto wako wote watakua bize kutekeleza ule usemi wa "nani kama mama"Ni kweli mimi mwenyewe nimerithi kupenda totozi Ila nataka nijitahidi angalau nisipite sana kule,
Vijana mnakosea, kuoa single mom ujue unaoa mke wa mtu. Ukiwa tayari kwa Hilo single mom ni wanawake wazuri Sana.Na mtoto hauna Authority nae.. pia kuna safari za mara kwa mara Mtoto akamuone Baba ake.. au Baba amuone Mtoto wake..
Mtoto akitoka hapo hujui anaambiwa nini.. anakuona kama fala mmoja hivi
Kumbuka pia shusho sio Binti wa 2000 Sasa hawa wa 2000 itakuaje?Yatakukuta ya mzee shusho ! Shauri yako! Alimuoa Christina shusho, akiwa 19 of age mzee shusho enz hzo ndo ana miaka 43 baadae shusho yupo kwenye 40's ,mzee shusho yupo 60's
chrstina akaanza kulalamika
Ety wazazi waliforce aolewe na mtu mzima
Sasa hapa it means kuna stage fulani bidada ariluka, sasa sahv atamani vijana
19-43 iyo ni gap kubwa kidogo.Yatakukuta ya mzee shusho ! Shauri yako! Alimuoa Christina shusho, akiwa 19 of age mzee shusho enz hzo ndo ana miaka 43 baadae shusho yupo kwenye 40's ,mzee shusho yupo 60's
chrstina akaanza kulalamika
Ety wazazi waliforce aolewe na mtu mzima
Sasa hapa it means kuna stage fulani bidada ariluka, sasa sahv atamani vijana
Mwanamke ukienda vizuri na hisia zake iyo inawezekana kabisa kwa sababu hawa wwnzetu huwa wanapelekeshwa na emotions zaidi, sio logic kama sisi wanaumeNa swala la hisia na upendo kwako unaweza kuuprogram?
Wazazi age gap yao ilkua ni 18 years mzee, 🤣wale mashemeji zake Yani wadogo zake mama walikuwa wanamwita baba nao19-43 iyo ni gap kubwa kidogo.
45 huyu possibly ana watoto na anaoa mke wa pili, ni mgane au ametalakiana na mkewe. Huyu akioa wa 30+ sio mbaya.Unashauri mwanaue mwenye miaka 45 aoe mwanamke mwenye umri upi?
Nawapa muongozo kama kaka yaoKwahiyo wewe ndiye unawachagulia?
My fav enemy, mambo?usi approach kizee Sasa, Anza uhusiano kwanza.
Mkuu case yako wewe haipo applicable kwenye huu uzi, maana wewe umeoa rafiki yako ambaye mlikuwa tayari mmeshatengenza bond yenye nguvu kwa muda mrefu sana kiasi cha kukupa urahisi ya wewe kuishi naye bila matatizo.Ningependa kujua kama alietoa ushauri huu kaoa? Ulioa binti miaka hiyo? Unazoefu kwenye ndoa kwa mda gani? Mimi nilioa rafiki yangu wa mda mrefu niliyemzidi 1 year sijawahi kukutana na mtu mwenye kunipa amani kama yeye mwaka wangu wa 6 ndoani na makids
Kwamba uwe tayari kuwa mume mwenzaVijana mnakosea, kuoa single mom ujue unaoa mke wa mtu. Ukiwa tayari kwa Hilo single mom ni wanawake wazuri Sana.
Nilijua tuu. Wazee wa kataa ndoa huwa hawachezi mbali na mada kama hizi....KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Pole sana mama mchungaji. Huwa inaumiza sana kuona washirika wako wanazeeka bila ndoa.Imeniuma sana, najua maumivu ya wanawake ambao hawajaolewa...
Nikiwa kama mama mchungaji wa JF
Anapalilia uliwaji😃😃😃😃Ahahahahah..Anaye ndio, ila toka tuanze kuwa karibu(as friends) naona kam sideline shost ake simuoni siku hizi kila nikiwa invite lunch anakuja alone 😂😂😂
Sheria za Tz zinasema miaka 15 binti anaweza akaolewa ikiwa sio mwanafunzi, huko 18 mbona mbali sana.Kuanzia miaka 18, possibly huyu tayari sio mwanafunzi wa sekondari tena
Mimi namuelewa sana Natafuta AjiraWanawake wa age hiyo unakuwa na authority and power yakumfanya namna unavyotaka awe hapa ndipo inawashinda wananaume wengi Kama wewe na ndio maana mnakimbilia kwa wanawake waliotumika sana Natafuta Ajira wape elimu hawa vijana