Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Mkuu haya mambo hayaeleweki cha msingi mungu kwanza hapa nili
po kuna jirani yangu mzee fulani wakati anaoa na mke wake mke wake ana miaka 17 kipindi yupo bikra hasa mzee miaka 30 cha ajabu watoto wawili amezaa na mwanaume mmoja ndani ya ndoa na huyu mzee na still jamaa bado anamla mpaka leo huyu mama,na mwingine alioa mwanamke ana miaka 25 mwanaume miaka 50 mzee sasa hivi hajiwezi mke wake analiwa na vijana Tu!mkuu acha kugenelize aisee haya mambo hayaeleweki hata kidogoNyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.