🤣Kwetu ni aibu sana msomi kushiriki Sha jambo la mahusiano wazazi, Yan kwetu wanaamini msomi, hashindwi kitu na ana uwezo wa kupembua mambo,Ofcourse lazima ukutane na ugumu kwa sababu wanawake wa kisasa washakua brainwashed na itikadi nyingi mfano feminism, 50/50, career woman, independent woman n.k.
Unavyofanya msako wako tengeneza target sample ya wanawake wa ku-approach sio unamfuata tu kila mwanamke. Lenga ambao wanatoka kwenye familia yenye maadili, wachamungu, washirikishe wazee au viongozi wa dini, utampata tu
Yan Kitendo cha kuongelea mahusiano mbele ya wazazi, unaonekana zoba
Kwenye viongozi wa dini maybe!