min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Why nini tena mkuu , mbona nimeshajieleza bwashee😁Why baba mkwe,
Why nini tena mkuu , mbona nimeshajieleza bwashee😁Why baba mkwe,
Umenikumbusha mahubiri ya mzee wa upako antony lusekelo enzi zake yuko kwenye peak.Mungu anaingiza mkono wake baada ya binadamu kufanya kile anachowajibika kukifanya, mfano una matarajio ya kuwa na watoto oa mwanamke mwenye umri mdogo ambae kizazi chake bado kipo active halafu baada ya hapo muombe Mungu akujalie watoto, sasa unaoa mwanamke wa miaka 30+ ambaye mayai yashakauka hapa ni kumpa Mungu kazi ya ziada.
For sure hii ndo circle ambayo nakutana nayo, sana wengi bado wanasoma ukiwaambia kuolewa Wanaona tizMiaka 18-23 hao wote ni wanafunzi labda kama unashauri kuoa wale walio kosa fursa kwenye Elimu
Wape mimba, mijadala itapungua, watataka uwaoe wao wenyeweSijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Sema, Ata mimi mzee baba huwa nakua excited siku ya kwanza baada ya hapo huwa nakosa topic, sasa unakuta binti anashinda tiktok anajisnap ili apostWhy nini tena mkuu , mbona nimeshajieleza bwashee😁
Ila nalo neno mkuu ngoja nitafute fatu wangu siku, akifungua tu ninayeWape mimba, mijadala itapungua, watataka uwaoe wao wenyewe
Umeongea kwa unyonge hadi nimekuonea huruma madamUzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
Wasisitizeni mabinti wadogo waitumie vizuri prime age yao ili iyo circle isiendelee. Wasijilinganishe na wanaume. Mwanamke ana miaka 10 tu ya kusumbua kwenye dating pool lakini mwanaume ana miaka zaidi ya 40Imeniuma sana, najua maumivu ya wanawake ambayo hawajaolewa...
Nikiwa kama mama mchungaji wa JF
Kwasasa kipindi hiki nina company ya ka 24s kametoka chuo lasr year, katoto ka mama mchungaji. Kaninipanga eti ni ka bikra 😂😂Ila nalo neno mkuu ngoja nitafute fatu wangu siku, akifungua tu ninaye
Kwa ujumla mambo ya mapenzi, kuoa na kuolewa yasiingiliwe na mtu wa tatuBinafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
😁Wape mimba, mijadala itapungua, watataka uwaoe wao wenyewe
Jidanganye mkuu, bikra huwa inakatiza kote Ila sio Chuoni mkuuKwasasa kipindi hiki nina company ya ka 24s kametoka chuo lasr year, katoto ka mama mchungaji. Kaninipanga eti ni ka bikra 😂😂
Ofcourse lazima ukutane na ugumu kwa sababu wanawake wa kisasa washakua brainwashed na itikadi nyingi mfano feminism, 50/50, career woman, independent woman n.k.Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Sio siku hizi tu mkuu. Pitia vizuri topic ya reproduction kwenye biologyHii kali kumbe wanaume siku hizi wanaingia menopause?
Havinaga chachu yoyote zaidi ya kuita beibii bila sababu za msingi😁😁Sema, Ata mimi mzee baba huwa nakua excited siku ya kwanza baada ya hapo huwa nakosa topic, sasa unakuta binti anashinda tiktok anajisnap ili apost