Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Mkuu haya mambo hayaeleweki cha msingi mungu kwanza hapa nili
po kuna jirani yangu mzee fulani wakati anaoa na mke wake mke wake ana miaka 17 kipindi yupo bikra hasa mzee miaka 30 cha ajabu watoto wawili amezaa na mwanaume mmoja ndani ya ndoa na huyu mzee na still jamaa bado anamla mpaka leo huyu mama,na mwingine alioa mwanamke ana miaka 25 mwanaume miaka 50 mzee sasa hivi hajiwezi mke wake analiwa na vijana Tu!mkuu acha kugenelize aisee haya mambo hayaeleweki hata kidogo
Exceptions zipo mkuu, lakini utakua mjinga ukifanya decision making based on exceptions. Suala la kuoa bikira kinachomaanishwa ni uwezekano wa mwanamke kuwa mtiifu. Mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira ni kiashiria cha maadili mazuri na uwezo mkubwa wa mwanamke uyo kuvishinda vishawishi huyu hamjui mwanaume mwingine zaidi yako kila moment yenu itakua ndio first experience kwake uwezekano wa kuwa mwaminifu ni mkubwa zaidi, ukilinganisha na yule ambae umemkuta ashatumika, kwa sababu huyu bado ana kumbukumbu za maex wake kwaiyo kila moment yenu atakua anakulinganisha nao na obvious hauwezi kuwazidi maex wake kwenye kila kipengere sasa hapo kwenye gap ambayo inakosekana ndipo zinapoanzia hisia za kwenda kuitafuta iyo pleasure nje.
 
Uyo ndio mzuri mkuu. Wengi wao huwa hawana uzoefu wa kuishi na mwanaume kwaiyo ni rahisi kumpanga vile unataka awe. Halafu gap ya umri usiiogope hata ukimzidi miaka 12 akifikisha miaka 30 ataanza kuonekana ni agemate wako. Biological clock ya mwanamke inaenda haraka kutuziddi sisi wanaume
Lakini ni majanga kwasababu unakuwa umemtoa kwenye penzi la kijana mwenzake harafu Hana hisia na wewe kwaiyo impact yake itakuwa baada ya miaka 10 mbele
 
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.

Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.

Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?

Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .

Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+

By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.

Don't be a simp.
Mwisho wa siku wote tutazeeka tu mkuu.
 
Mkuu haya mambo hayaeleweki cha msingi mungu kwanza hapa nili
po kuna jirani yangu mzee fulani wakati anaoa na mke wake mke wake ana miaka 17 kipindi yupo bikra hasa mzee miaka 30 cha ajabu watoto wawili amezaa na mwanaume mmoja ndani ya ndoa na huyu mzee na still jamaa bado anamla mpaka leo huyu mama,na mwingine alioa mwanamke ana miaka 25 mwanaume miaka 50 mzee sasa hivi hajiwezi mke wake analiwa na vijana Tu!mkuu acha kugenelize aisee haya mambo hayaeleweki hata kidogo
Hivi visa ulivyoelezea hapa vinatokana na mfumo wa maisha wa hao wanaume wahusika na wala havitakiwi kukupa hofu unless labda na wewe mfumo wako wa maisha unafana na hao wazee sijui majirani zako.

Hao hawakujiandaa kuishi na hao wake zao kwanzi kiuchumi mpaka kimipaka na ndio maana unaona wake zao wanatoumbwa ovyoo na watu wa nje na wanaume hao hawana la kuwafanya.

Labda nikupe mfano wa mwanaume aliyejiandaa kuishi na mwanamke aliyemzudi umri na anaenda nae sawa... unamfahamu Ned Nwonko yule mme wa Regina Daniel wa Nigeria?

Yule mwamba ana 62 now wakqti huo mke wake wa mwisho ambaye ni Regina ana miaka 24 na wanaenda nae sawa. Hebu ifuatile hiyo couple kwanza ujionee.
 
Mzazi ni mzazi tu, hata kama kuna makosa aliyafanya uko nyuma hawezi kuyarithisha kwa mtoto wake, wewe haushangai wanawake wanasema kitanda hakizai haramu lakini watoto wao wa kiume wakibambikiwa mimba inakua vita
Ni kweli mimi mwenyewe nimerithi kupenda totozi Ila nataka nijitahidi angalau nisipite sana kule,
 
Lakini ni majanga kwasababu unakuwa umemtoa kwenye penzi la kijana mwenzake harafu Hana hisia na wewe kwaiyo impact yake itakuwa baada ya miaka 10 mbele
Ndipo hapo unapokuja umuhimu wa kuoa mwanamke bikira. Ukimkuta mwanamke bikira na ana umri mdogo huyu unaweza kumfanyia brain programming akakaa kwenye mstari unaotaka wewe
 
Uyo ndio mzuri mkuu. Wengi wao huwa hawana uzoefu wa kuishi na mwanaume kwaiyo ni rahisi kumpanga vile unataka awe. Halafu gap ya umri usiiogope hata ukimzidi miaka 12 akifikisha miaka 30 ataanza kuonekana ni agemate wako. Biological clock ya mwanamke inaenda haraka kutuziddi sisi wanaume
Unashauri mwanaue mwenye miaka 45 aoe mwanamke mwenye umri upi?
 
Ndipo hapo unapokuja umuhimu wa kuoa mwanamke bikira. Ukimkuta mwanamke bikira na ana umri mdogo huyu unaweza kumfanyia brain programming akakaa kwenye mstari unaotaka wewe
Yatakukuta ya mzee shusho ! Shauri yako! Alimuoa Christina shusho, akiwa 19 of age mzee shusho enz hzo ndo ana miaka 43 baadae shusho yupo kwenye 40's ,mzee shusho yupo 60's
chrstina akaanza kulalamika
Ety wazazi waliforce aolewe na mtu mzima

Sasa hapa it means kuna stage fulani bidada ariluka, sasa sahv atamani vijana
 
Back
Top Bottom