Niko njia panda chiefWe unaonaje boss
Niko njia panda chiefWe unaonaje boss
Angalau wa 25+ kidogo uhalisia wa maisha kaanza kuuona na kuuelewa.Unadhani Ata huyo mkubwa ana objective
Mimi. Mabinti under 25 wengi nao kukutana nao wengi wanasema wanataka wajenge wanunue gari, wawe na "liquidity" /ukwasi wa kutosha ndo waolewe
Kila mmoja ataelewa, ni suala la muda tu.Kusema za ukweli nimeanza kuelewa mada zako Mr Natafuta Ajira, vijana tusioe wapigania uhuru waliozaliwa kuanzia 2002-2005
Aiseee hivi unadhani wakati mimi nakuambia hivyo sikujua kama kuna Google au AI huoni kwanza hata neno lenyewe limekewa hizo alama kuashiria kwamba siyo neno rasmi ni informal, narudia hakuna kitu kinaitwa menopause kwa mwanaume hilo neno maana yake "ukomo wa hedhi" hizo nyingine ni porojo tu, hata wewe unaweza ukaingia humo mitandaoni na kuandika unavyotaka maana majibu ya kwenye hiyo mitandao yamewekwa na watu kama wewe tu
But mostly 25+ wanakuwa already washayakanyagaAngalau wa 25+ kidogo uhalisia wa maisha kaanza kuuona na kuuelewa.
Yes. Unakuta akili imemkaa sawa baada ya akili kupevushwa na aliyokutana nayo kwenye jamii.But mostly 25+ wanakuwa already washayakanyaga
Menopause kwa mwanaume ipo na hata ukimwambia mtu anaejua biology vizuri atakuelewa., kurahisha au kuitofautisha na ile ya mwanamke ndio ndio unaweza kusema "male menopause" au "andropause". Wewe lengo lako ni kubishana tu kwaiyo hata point ambayo haiondoi mantiki ya mada utaishikilia iyo iyoAiseee hivi unadhani wakati mimi nakuambia hivyo sikujua kama kuna Google au AI huoni kwanza hata neno lenyewe limekewa hizo alama kuashiria kwamba siyo neno rasmi ni informal, narudia hakuna kitu kinaitwa menopause kwa mwanaume hilo neno maana yake "ukomo wa hedhi" hizo nyingine ni porojo tu, hata wewe unaweza ukaingia humo mitandaoni na kuandika unavyotaka maana majibu ya kwenye hiyo mitandao yamewekwa na watu kama wewe tu
Nilipata binti alikuwa kazalishwa five years ago now she is 27, anasema mwanaume, alipombebesha alikimbia, kwo binti akaamua kumpeleka mtoto kwa mother akeYes. Unakuta akili imemkaa sawa baada ya akili kupevushwa na aliyokutana nayo kwenye jamii.
Ukimpata ambaye hajakitembeza hicho kinanii chake halafu wenge la mafanikio ya haraka limerudi kwenye factory setting unaweza furahia kuwa na mke.
Ukioa unapata nini na unakosa nini?Niko njia panda chief
Kama moyo wako ulisita ulikuwa sahihi.Nilipata binti alikuwa kazalishwa five years ago now she is 27, anasema mwanaume, alipombebesha alikimbia, kwo binti akaamua kumpeleka mtoto kwa mother ake
Demu alitaka ndoa, lakini mimi nilikata kwa hicho kigezo cha usingo maza
Yan kwamba ety jamaa alikimbia mimbaKama moyo wako ulisita ulikuwa sahihi.
Nadhani ili mwanaume, ukamilike lazima uwe na familia full stopUkioa unapata nini na unakosa nini?
Huo ni mtazamo wakoNadhani ili mwanaume, ukamilike lazima uwe na familia full stop
18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasureNyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.

Inawezekana ni kweli, inawezekana si kweli la muhimu wewe uliona hakufai na ukatii hisia zako. Atapata mwingine kama akijitunza na kujiheshimu.Yan kwamba ety jamaa alikimbia mimba
Mzee baba yan mwanamke awe greater than 30 ndo aje aolewe?18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasure![]()
Yes apate tu mwingine sisi bado, tunafanya surveyInawezekana ni kweli, inawezekana si kweli la muhimu wewe uliona hakufai na ukatii hisia zako. Atapata mwingine kama akijitunza na kujiheshimu.