Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Sio kweli mmatumbi akiniita beibii nashika visarafu vyangu kama vipo, mimi na ubeibi gani zaidi ya ujambazi tu?
Hujui mahaba eeeeh😂😂😂😂 kwaiyo ukisikia mtu anakuita beib ni mwizi huyo sio😀😀😀😀
 
Uzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
udange kipindi uko balobalo mzuri wa haja
uko 18 mpk 25 s umekata wanaume wamaana waliotaka kukuoa wasikuoe kwa 7bu zako za kijinga
umefika 30s single mama wa watoto wawili baba tofauti
Qyuma imechakaa vibaya mnooo mpk hisia huna
ukiwa unapigwa dudu ili ufike kileleni mpk uwaze wanaume watatu tofauti mijegejo yao ikikuingiza

unanuksi umeachiwa na wanaume 30 kidogo wamekumwgia mbegu zao
unetia mimba tano kidogo
umeshapigwa dudu mara 300 kidogo katika miaka 15 yote tangu ulipotolewa bikra
na bado una Gubu kiburi
na bado una U.T I sugu

MUNGU gani atakufanyia fea
MUNGU hataki watu wapuuzi na wajingawajinga walioshindwa hata kujiuhulumia wenyewe na kujipa thamani
then uje utegee miujiza ya MUNGU
sahau hilo mtavuna umliichopanda
kwa kuwatajirisha waganga wa kienyeji na kina mwamposa
 
Kataa ndoa hatupingi kuwa na familia, hatupingi mtoto kupata malezi ya baba na mama, ambacho tunakipinga ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la "ndoa"
Kwa hapa kifalsafa tunakinzana wazazi kilichowatenganisha ni kifo why nisioe mkuu,

Watoto bora hutoka kwenye familia ya wazazi wawili siyo single parenting family(ili kataa ndoa mnalijua vizuri Ila mnajitoa tu kufahamu)

Huwezi Lea mtoto from distance alafu akanyooka ipasavyo brother
 
Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.

Hao wanawake mnaowatetea wanapigania ndoto zao embu wafuatilieni trend ya mahusiano yao inaendaje. Mtu kama gigy money akifika 30 atasema amepevuka kiakili na kuna ambao mtamuita matured woman
..mfano binti yako wa umri wa 18, uko happy kum-send off kwa ndoa? na kwanini umeweka standard kuwa mtoto wa kiume kuwa anakuwa tayari kuoa kuanzia 30? Labda kama unatoka nomadic society ya kifugaji na wawindaji, e.g wahàdzabe etal.
 
Hujui mahaba eeeeh😂😂😂😂 kwaiyo ukisikia mtu anakuita beib ni mwizi huyo sio😀😀😀😀
Kwa nchi yetu inavyoandaliwa hata ukijifanya unafanya mahaba ni kufuga umaskini tu na kuandaa kizazi cha wakora tu😆😆
 
Hatuwez tetea ujinga chief
Watu wanataka tutetee au tufiche makando kando kwa sababu tuna ndugu wa kike. Feminism world imewaaminisha wanaume wa kisasa(simp) kushusha hadhi na standards ili mwanamke awe comfortable ndio ugentleman. Halafu upande wa wanawake wameshikilia pale pale "no money no love" bila kujali na wao wana baba na kaka masikini au ni mama watarajiwa wa mtoto wa kiume
 
..mfano binti yako wa umri wa 18, uko happy kum-send off kwa ndoa? na kwanini umeweka standard kuwa mtoto wa kiume anakuwa tayari kuoa kuanzia 30? Labda kama unatoka nomadic society ya kifugaji na wawindaji, wahàdzabe etal.
Hujaspecify(we una amini umri sahihi wa mwanaume kuoa ni age ipi?

mimi kwa mtazamo wangu ni 28,-33)
Mwanaume ambaye ataoa kwa mara ya kwanza At age of 34 and above he is almost like going to divorce near in the future.
,
Infact jamii nzima Sasa, inasema kigezo Namba moja cha kuoa ni kuwa na hela, other things follows🥶kwangu mimi naona kama ni bomu tarajiwa

Hapa unajikuta umedumbukia kwa mtu aliekupendea mali kamuacha kipenzi chake ambaye hana fedha hapo maji utaita m'ma
 
Wanawake sio watu wa kutumia logic, anaweza kutetea kitu kwa sababu ni mnufaika halafu masilahi ya hicho kitu yasipokuwepo tena anaamia upande mwingine kukipinga, mfano akiwa na miaka 22 atasema anataka wanaume wa miaka 30+ kwa sababu wa age yake sio aize yake. Mwanamke huyo huyo akifika miaka 30 akaona mwanaume wa miaka 30 anadate na mwanamke wa miaka 22 atasema mwanaune uyo anawalenga wanawake wadogo kwa sababu wanadanganyika kirahisi. Kwa kifupi usizingatie sana anachokisema mwanamke, hawa wwnzetu huwa wanaendeshwa na hisia wanazokua nazo kwenye moment husika, na sio logic.
Mkuu, naona hujalenga kwenye sehemu moja, ujue damaged women/B2B middle fielder/single mothers wenye tabia za hovyo wenye miaka 30+ hata na wao kuna kipindi walikuwa na miaka 18-23, unaeza oa pisi yenye piaka 22 ikakutesa, ukaoa mdada mwenye miaka 28 asie na mtoto na ambae hajawahi olewa, akakupa amani kwenye maisha yako yote ya ndoa.

Sahivi naona jamii kuna namna wanaume wanakua discouraged namna flani from dating binti wadogo, eti mwanaume ukimpa mimba mwanafunzi ni miaka 30 jela hata kama mlikubaliana, James delicious ni shoga anatakiwa awe jela aliwekwa mahabusu akatoka kwa dhamana mpaka Leo anadunda mtaani, mara chache saba nasikia shoga anafungwa miaka 30 jela, ila ni mara nyingi tu naskia mwanaume kafungwa miaka 30 jela kisa katembea na binti mwanafunzi, Jf ukipost thread ya ku-date na binti wa miaka 18-22/ form 4 girl aliepata div 4 ambaye hasomi tena, mods wanaufuta uzi Natafuta Ajira
 
..mfano binti yako wa umri wa 18, uko happy kum-send off kwa ndoa? na kwanini umeweka standard kuwa mtoto wa kiume kuwa anakuwa tayari kuoa kuanzia 30? Labda kama unatoka nomadic society ya kifugaji na wawindaji, e.g wahàdzabe etal.
Miaka 18 kama binti yangu shule haipandi na mipango yake mingine haimzuii kuolewa akija kijana mwenye rekodi nzuri na binti yangu akaridhia kuolewa nae mimi siwezi kuweka kipingamizi.

Kuhusu miaka 30's hapo ndipo vijana wengi wanaanza maisha ya ndoa kwa trend iliyopo mtaani. Ingawa wapo wachache wanaooa kabla au baada ya huo umri
 
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.

Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.

Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?

Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .

Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+

By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.

Don't be a simp.

  • Usichojua ni kuwa at 40`s wanawake ndo wako na njaa na sex kuliko rika zote.
  • Na usichojua ni kuwa at 40`s wanaume wengi tezi dume linaanza kusumbua kidogo kidogo, at 50`s na kuendelea hapo hata hiyo sex yenyewe inakuwa adhabu. Sasa uko na 50+ na tezi dume lako, mkojo kutoka mpaka ujiminye misuli halafu mkeo ndo ana 40, ndo mwishowe anakuwa lishangazi mjini.
 
Mkuu, naona hujalenga kwenye sehemu moja, ujue damaged women/B2B middle fielder/single mothers wenye tabia za hovyo wenye miaka 30+ hata na wao kuna kipindi walikuwa na miaka 18-23, unaeza oa pisi yenye piaka 22 ikakutesa, ukaoa mdada mwenye miaka 28 asie na mtoto na ambae hajawahi olewa, akakupa amani kwenye maisha yako yote ya ndoa.
Miaka 18-23 huyu bado ana ile purity na inocence ambayo veteran wa miaka 28+ hana. Kwaiyo ni rahisi kumweka kwenye mstari mapema ukilinganisha na yule wa 28+ ambaye tayari akili ishakua corrupted na itikadi na chaos za kwenye dating pool.
Sahivi naona jamii kuna namna wanaume wanakua discouraged namna flani from dating binti wadogo, eti mwanaume ukimpa mimba mwanafunzi ni miaka 30 jela hata kama mlikubaliana, James delicious ni shoga anatakiwa awe jela aliwekwa mahabusu akatoka kwa dhamana mpaka Leo anadunda mtaani, mara chache saba nasikia shoga anafungwa miaka 30 jela, ila ni mara nyingi tu naskia mwanaume kafungwa miaka 30 jela kisa katembea na binti mwanafunzi, Jf ukipost thread ya ku-date na binti wa miaka 18-22/ form 4 girl aliepata div 4 ambaye hasomi tena, mods wanaufuta uzi Natafuta Ajira
Mambo mengi sana yamepotoshwa kwa kisingizio cha usasa wakati nature ya binadamu bado ni ile ile.
 
  • Usichojua ni kuwa at 40`s wanawake ndo wako na njaa na sex kuliko rika zote.
  • Na usichojua ni kuwa at 40`s wanaume wengi tezi dume linaanza kusumbua kidogo kidogo, at 50`s na kuendelea hapo hata hiyo sex yenyewe inakuwa adhabu. Sasa uko na 50+ na tezi dume lako, mkojo kutoka mpaka ujiminye misuli halafu mkeo ndo ana 40, ndo mwishowe anakuwa lishangazi mjini.
Mwanamke wa miaka 40+ hawezi kumudu shughuli ya mwanaume mwenye umri huo. Miaka 40 sex drive ya mwanamke inaanza kuingia kwenye decline stage wakati kwa mwanaume ndio yupo kwenye kilele chake. Labda kama uyo mwanaume ana matatizo ya kiafya.
 
Menopause kwa mwanaume ipo na hata ukimwambia mtu anaejua biology vizuri atakuelewa., kurahisha au kuitofautisha na ile ya mwanamke ndio ndio unaweza kusema "male menopause" au "andropause". Wewe lengo lako ni kubishana tu kwaiyo hata point ambayo haiondoi mantiki ya mada utaishikilia iyo iyo
Sasa kulikuwa na haja gani ya kutumia neno menopause hadi kwa wanaume ulishindwa nini kutumia hilo andropause, au ulikuwa hulijui ila baada ya mimi kukukosoa ndio ukakimbilia google ukalitafuta hadi ukalipata, tatizo siyo kutoondoa mantiki ya mada tatizo ni ulazima wa kutumia neno lisilohusika ilihali linalohusika lipo
 
Back
Top Bottom