Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Vijana wanashindwa kuelewa tofauti ya love na survival. Wanashindwa kuelewa tofauti ya matured woman na damaged woman.

Kama mwanamke ametumia 20's yake kuhama hama kutoka mahusiano haya kwenda mengine halafu baada ya kufika 30 anataka nice guy wa ku-settle nae that is not love, that is survival. She is not matured woman, she is damaged woman.

Ni ajabu Sana
Watu wengi hawajui saikolojia za Wanawake
Mwanamke mwenye Miaka kuanzia 30+ kwenda juu na Masuala ya kupenda wapi na wapi
 
Kaka wapo wanawake wa umri huo wanajiweza kiuchumi na wala hawahitaji chochote kwako zaidi ya mapenzi , tatizo mnafikiri mapenzi ni kwa ajili ya wanawake wa kimatumbu tu ambao ni maskini.

Wanawake wa umri huo wanaojiweza kiuchumi hawawezi kukupenda ila watataka wewe ndio uwapende(uwatii) na ufanye kile wanachotaka kwa Sababu wao watakuwa wamekuoa.

Kwamba mwanamke WA Miaka 30 anayejiweza akutane na kijana labda wa Miaka 31-35 alafu huyo mwanamke ampende kindakindaki?
Hakuna kitu kama hicho Mkuu.

Mapenzi wanasema hayana Kanuni lakini ukweli ni kuwa mapenzi Yana Kanuni zake.

Mapenzi ni kama maua. Huchumwa yakishachanua.
Kwa mwanamke mapenzi yapo connected na maumbile yake na umri wake
 
Kaka sio kwa hili povu😆😆
Anataka kunichafulia jina huyo kenge maji 😂

Mamtu Hannah usimsikilize huyo alafu soma kapsheni pichani.
IMG_20250322_192042.JPG
 
Kaka wapo wanawake wa umri huo wanajiweza kiuchumi na wala hawahitaji chochote kwako zaidi ya mapenzi , tatizo mnafikiri mapenzi ni kwa ajili ya wanawake wa kimatumbu tu ambao ni maskini.
Ukiweka pembeni kigezo cha kujiweza kouchumi bado hasara za ku-settle na mwanamke wa 30+ ni nyingi zaidi

-hana upendo anatafuta mpango wa kustaafu
-anakuja na emotional baggages hivyo hautaweza kubond nae
-ana complications nyingi kwenye suala la uzazi kutokana na umri na uwezekano wa kuwa ashafanya abortions nyingi.
-anaamini mwanaume anaweza kuwa replaced hivyo hawezi kuweka jitihada kubwa katika kulinda mahusiano mkipitia nyakati ngumu.
-posibility ya kuchepuka ni kubwa kwa sababu bado ana kumbukumbu za maex wake kichwani
e.tc
 
Diversity Diversity, Tujifunze Kuembrace Diversity wakuu haya mambo ya Mahusiano hayana Formality kabisa Binafsi mtoto wa Miaka 18-23 siwezi kumfurahia wala kupiga nae story zozote, Nimekuwa napenda sana Wanawake wake ambao ni predators
 
Wanawake wanawatesa bado.....
Tunapeana miongozo kama wanaume. Wanawake accountability inawashinda ndio maana ajenda yoyote ya kikao ikawachoma mnatafuta kisingizio kwa kutaka ionekane shida ipo kwa mwanaume. Udange, mbususu ichakazwe, ubaki single mother na trauma zako kibao halafu ateseke mwanaume.! are you normal?
 
Diversity Diversity, Tujifunze Kuembrace Diversity wakuu haya mambo ya Mahusiano hayana Formality kabisa Binafsi mtoto wa Miaka 18-23 siwezi kumfurahia wala kupiga nae story zozote, Nimekuwa napenda sana Wanawake wake ambao ni predators
Formality zipo, suala la kusema hakuna formular ni visingizio tu watu wanatumia kutetea maamuzi yao mabovu au uchafu wao wanaoufanya kwenye dating pool.

Hauwezi kusema potential outcomes za kuoa mwanamke bikira ni sawa tu na kuoa asiekua bikira wakati hata takwimu zinaonesha walioolewa bikira ndio mahusiano yao yanadumu

Hauwezi ukasema kutengeneza bond na mwanamke ambae wewe ndie mwanaume wake wa kwanza ni sawa na kutengeneza bond na mwanamke ambae wewe ni mwanaume wa 10 kwenye list yake.
 
Back
Top Bottom