Haya sawaNawapa muongozo kama kaka yao
Haya sawaNawapa muongozo kama kaka yao
Anatrend sana kwasasaInasemekana huko jamhuri ya vilaza wa fb lakini😛
Shangaa na wewe. Science ya JFHii kali kumbe wanaume siku hizi wanaingia menopause?
I should be asking you that?hao unaowaita wamechakaa wanachakazwa na nani??Tunapeana miongozo kama wanaume. Wanawake accountability inawashinda ndio maana ajenda yoyote ya kikao ikawachoma mnatafuta kisingizio kwa kutaka ionekane shida ipo kwa mwanaume. Udange, mbususu ichakazwe, ubaki single mother na trauma zako kibao halafu ateseke mwanaume.! are you normal?
Indeed afu akiambiwa anakwambia yamekuchoma.....unasahau utapewa/umepewa uzao wa mwanamkeMleta uzi na supporters wote mtakuja kuwa au mnao pia na watoto wa kike, madada na mashangazi wa damu. Unaposuggest hayo na kusema hayo kuhusu mwanamke inawagusa na hao ndugu zenu pia. This App imekuwa so toxic kwa mwanamke. So many negativities huwezi amini anaandika mwanaume. Umezaliwa na mwanamke pia. Have some respect. Shame!
Kwaiyo tuunge mkono mienendo mibovu ya mabinti kwa sababu tuna ndugu wa kike? Wanawake mjifunze kuwa accountable kama sisi wanaume.Mleta uzi na supporters wote mtakuja kuwa au mnao pia na watoto wa kike, madada na mashangazi wa damu. Unaposuggest hayo na kusema hayo kuhusu mwanamke inawagusa na hao ndugu zenu pia. This App imekuwa so toxic kwa mwanamke. So many negativities huwezi amini anaandika mwanaume. Umezaliwa na mwanamke pia. Have some respect. Shame!
Wanachakazwa na badboys and irresponsible men, na wanaruhusu kufanyiwa hivyo kwa hiyari yao wenyeweI should be asking you that?hao unaowaita wamechakaa wanachakazwa na nani??
Hapo ndoa ikimshinda anarudi kutukana wanawake kwa format nyingine tena.Hivi mkuu una miaka 36 unakuja kuoa katoto kana 18 kweli? Mtaendana, mbona naona ni generations mbili kabisa.
Under 30? Oh my goodness. Stats za wapi hizi?Wapo wachache wanaoza katika iyo age sema kiafya mwanamke anatakiwa kumalizana na masuala ya uzazi akiwa under 30. Zaidi ya hapo mimba inakuja na complications nyingi
Age is not just a number, it's a package of emotional bagagges, trauma and deteriorate vagina.Age is just a number, hayakuhusu!
Now najua tatizo lako linaanzia wapi. Learn to heal peacefully bro. Na jifunze kuepuka kufanya generalization ya mambo. Hakunaga jibu moja katika maisha, life is an algebraic equation, hayana format ya 1+1=2. Katika maisha kuna x na y nyingi mno na kila mmoja anazo zake.Kwaiyo tuunge mkono mienendo mibovu ya mabinti kwa sababu tuna ndugu wa kike? Wanawake mjifunze kuwa accountable kama sisi wanaume.
Wanaume ambao bado wanajitafuta wanakutana na masimango mengi kutoka kwa wanawake tena unakuta wanawake wenyewe ni masikini zaidi, lakini mtoto wa kiume anajikaza anapambana mpaka anatoboa.
Nyie mkiguswa kidogo tu ndio mnakumbuka kwamba na sisi tuna ndugu wa kike, lakini wakati mnawashusha hadhi wanaume ambao hawajasimama kiuchumi hamkumbuki na nyie baba na kaka zenu ni masikini pia
Wanachakazwa na badboys and irresponsible men, na wanaruhusu kufanyiwa hivyo kwa hiyari yao wenyewe
Then unakubaliana na me kila kitu kinaanzia kwenye makuzi,me wafundishwe kusimama kwenye nafasi zao na ke wafundishwe majukumu yao hapo ndounaweza ukamnyoshea kidole mwenzako ila usisahau hata wewe unanafasi unaplay kwenye huo mchakatoWanachakazwa na badboys and irresponsible men, na wanaruhusu kufanyiwa hivyo kwa hiyari yao wenyewe
Sihitaji ushauri wako, i'm on the right track in my life. Wanawake wenzako wanaoishi reckless life ndio wanahitaji zaidi huo ushauri hao ndio wanaodhalilisha jinsia yenu, wala sio sisi ambao tunafichua mienendo mibovuNow najua tatizo lako linaanzia wapi. Learn to heal peacefully bro. Na jifunze kuepuka kufanya generalization ya mambo. Hakunaga jibu moja katika maisha, life is an algebraic equation, hayana format ya 1+1=2. Katika maisha kuna x na y nyingi mno na kila mmoja anazo zake.
Ndicho kinachofanyika hapa, ukiwaambia wanaume waoe mwanamke bikira automaticaly inapeleka ujumbe kwa wanawake wanatakiwa kujitunza.Then unakubaliana na me kila kitu kinaanzia kwenye makuzi,me wafundishwe kusimama kwenye nafasi zao na ke wafundishwe majukumu yao hapo ndounaweza ukamnyoshea kidole mwenzako ila usisahau hata wewe unanafasi unaplay kwenye huo mchakato
Tatizo binadamu ni wabishi sana 😀😀😀