Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Miaka 20 ni mtu mzima kabisa
Miaka 30+ kwa mwanamke huyo hata ukimuuliza Mama au mtu mzima anayekupenda hawezi kukushauri uchukue mwanamke mwenye umri huo.

Unahitaji mwanamke mdogo ili uwe Mwalimu wake
Lakini ni Hatari kuchukua mwanamke ambaye ni mtu mzima Akiwa ameshafuzu na anawaalimu wa kutosha.
Mwanamke mwenye miaka 30+ ni nyangumi certified 🥶
Ova
 
Ni wewe tu mkuu wapo kibao umri huo wanatak ndoa
Duh labda choice zangu maana mi binafsi huwa nafataga hawa diploma na bachelor aidha walioko au waliomaliza hivi karibuni huwa spend mwanamke aliyekaa sana mtaani
 
Duh labda choice zangu maana mi binafsi huwa nafataga hawa diploma na bachelor aidha walioko au waliomaliza hivi karibuni huwa spend mwanamke aliyekaa sana mtaani
KAKA NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA HATUOI BACHELOR DEGREE WALA DIPLOMA TUNAOA MKE KAKA UKIWA NA MKE MWENYE MAADILI UTAYAFURAHIA MAISHA WEWE SIMAMIA TU UANAUME WAKO NAMAANISHA BASICS NEEDS UTAPIKIWA,UTAFULIWA,UTAOGESHWA NA MPAKA KUKUPOKEA VITU ANAKUPOKEA CHA MWISHO NA CHA KWANZA RESPECTS KAKA WANAUME TUNAITAJI HESHIMA SASA IZO DIPLOMA HAZIFANYI AYO MAMBO NI 1:100.
 
Unaoa kabisa vitoto vya huo umri. Yaani wengi hawajajua wanataka nini kwenye maisha.
Kwaiyo unashauri tuwaoe maveterani wa 30+? ambao baada ya kukusanya body count zisizokua na idadi, kuaribu kizazi kwa kumeza p-2, kuwa single mother na kuachiwa majeraha na maex wao, sasa tayari washajua wanataka nini kwenye maisha
 
Kuna kaka yangu alioa wa miaka 18 tena bikra, hakuna rangi aliacha kuiona. sasa hivi amekuwa wameachana. Hawa wasichana. Alikuwa na utoto mwingi ,sasa hivi kampata wa size yake, na kaacha watoto.
Unachoongea mkuu ni sahihi wapo waliochachuka na wastaarabu wapo pia.
 
Back
Top Bottom