Nashukuru kwa mawazo mazuri, lakini binafsi nitaumia kukubaliwa na mwanamke kwasababu Nina mali,Basi kuna viwango hujafika
Muombe Mungu akupe maisha mazuri. Mwanamke hawezi kukataa mwanaume mwenye maisha mazuri tena huo mwanamke Akiwa hajaolewa
Maana ake yeye kapenda vitu sio mtu,
Mara nyingi mtu akikupendea vitu huwa anajali hisia zake, utajijua wewe
uumie usitumie Ila nafsi yake iridhike