Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Mtoa hoja aliturai kuwa kitoto unachokuwa nacho ni lazima uwe umekipitisha kwenye vetting ya kumiliki historia ya malezi mema ya kiuwanawake mikononi mwa mamaye.....Mimi mwanamke nilieshi nae 8 yrs nimemzidi miaka mingi sana, kwa kifupi vitoto hvyo ulivyosema vina matatizo mengi sana,,kwanza kabisa kuhandle pressure na matukio haviwezi,vinapanic mnoo... Matukio kadhaa tu kishachoka🤣🤣
Bila malezi bora hayo anaweza kuwa na 30s na bado akawa wa kupaniki usemavyo....
Mengine huwa tunaingia chimbo KUVIROGA* kwa styles tofauti....
Amkaaaaa