Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.

Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.

Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?

Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .

Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+

By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.

Don't be a simp.
"wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko."
Mwalimu wako wa Biology alikuwa nani Mkuu sio kwa ubaya lakini,
 
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Inabidi tuunge mkono hii kampeni, kataa ndoa, tafuta watoto lea, na wao waje kukàa ndoa pia??!! Apa ndio mwisho wa mawazo ..Bora kipi? Tafuta PESA halafu tafuta amani na moyo wako halafu tafuta katoto kadogo kadogo 18-23 hapo kula maisha, daaah 😢😢
 
Muongo.. mimi pia nilimaliza chuo nikiwa bikira na Miaka 23 na miezi3 ndio nikabikiriwa so wapo wana vyuo wengi tu ni bikira na huwezi kuwajua abadani na ni warembo haswa
Iyo jamaa aliyekubikiri Bado unaishi naye???
 
Pamoja na fumbo la mustakabali wa maisha yetu pia tunawajibika kuchukua taadhari zote katika ufanyaji maamuzi. Mwanamke kuwa single mother au kufika 30+ akiwa hajaolewa iyo ni red flag, inawezekana akawa mkosaji au victim lakini kitendo cha kuwa na moja ya izo sifa(au zote) kwa mwanaume yoyote makini lazima utakua na alama ya kiulizo akilini
Unakuta baadhi ya wadada wanakaribia 30+ ni wazuri, wana shepu, hawana watoto, hawajawahi olewa, na wapo desperate wanataka kuolewa, ila wana vizinga hao, wananishangazaga kwakweli, najiuliza kwa tabia iyo ya kuomba omba wanaume hela wataolewaje, sijui lakini ngoja nione watakaokuja kuwaoa Natafuta Ajira Nashengena Mr Pixel3a Melancholic Hannah Joanah Joannah
 
Women are liabilities, relationships are expensive. Kijana ambae bado unajitafuta masuala ya committed relationship unatakiwa kuyaweka pembeni kwanza kwenye equation yako.
Kabisa mkuu unachokizumgumza ni ukweli mtupu
 
Unakuta baadhi ya wadada wanakaribia 30+ ni wazuri, wana shepu, hawana watoto, hawajawahi olewa, na wapo desperate wanataka kuolewa, ila wana vizinga hao, wananishangazaga kwakweli, najiuliza kwa tabia iyo ya kuomba omba wanaume hela wataolewaje, sijui lakini ngoja nione watakaokuja kuwaoa Natafuta Ajira Nashengena Mr Pixel3a Melancholic Hannah Joanah Joannah

Nimejiuliza uliowatag
1. Wanakaribia 30+ hawajaolewa? Au
2. Wanaomba omba hela?
3. Wana sura na shape nzuri?
 
Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids

Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Wapo wanaotaka kuoelewa ila vingi akili kisoda, vitakusumbua.

Uoe dem ana miaka 18 si kujitafutia presha tu huko, labda kuanzia 21
 
Wapo wanaotaka kuoelewa ila vingi akili kisoda, vitakusumbua.

Uoe dem ana miaka 18 si kujitafutia presha tu huko, labda kuanzia 21
Mimi nafikiri shida ni malezi yetu, labda na stereotype tuliyoijenga akilini kuhusu hawa tunaowaita "vitoto vya 2000". Lakini kiukweli miaka 18 kwa binti alielelewa vizuri ana vigezo vyote vya kuwa mke. Saido Mane kaoa binti wa age kama iyo.
 
Daah mzee Sadio Mane?? Ukwasi wa yule mwamba unaufananisha na huku kajamba nani?

Na ndio shida ni malezi, we angalia tu mabinti wengi wenye miaka 18 wanavyobehave, umuweke awe mama wa familia, kwamba wewe haupo yeye ashike usukani, aloo.
 
Back
Top Bottom