Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
wewe ni SIMP!!!Havinaga chachu yoyote zaidi ya kuita beibii bila sababu za msingi😁😁
wewe ni SIMP!!!Havinaga chachu yoyote zaidi ya kuita beibii bila sababu za msingi😁😁
Sina uwezo kivipi, boda boda ni kitu cha mpito tu, Ata mimi Nina degree hizo wanazoringiaHuna uwezo wa kupata kitu bora kwa hiyo sample space yako!!!
Hao wewe tongoza kwaajili ya kupiga na kusepa.
Ukitaka mke rudi kwenu kwa wazee wako au nenda mikoani huko!!!
Wewe unashida,wewe ni SIMP!!!Ili ujue wanawake hawaeleweki, Wao husema wanataka wanaume waliowazidi umri kwa sababu zao za kutaka ku-treatiwa kama wadogo na kuhudumiwa, Lakini ukiwawekea rasmi kwamba wanaume wasioe wanawake waliolingana nao au wasioe wanawake waliowazidi kwani mwanaume anapaswa kuwa na umri zaidi ya mkewe…. Wanawake tena hawapendi hiyo watataka tena kuwa na access ya kuolewa na wanaume wadogo au wasiowazidi umri.
Very disgusting
Unadegree ila huna akili ya kujua nini unataka bado unaulimbukeni na ndoto za alinacha.Hiyo degree yako ni takataka never ever mention it again kama defensive mechanism ukiwa unafanya arguments.Ukiwa unaitaja unafanya hata degree ulionayo idharaulike maana imeshindwa kukufanya uwe na akili ya kuona mbali zaidi ya pua yako.Sina uwezo kivipi, boda boda ni kitu cha mpito tu, Ata mimi Nina degree hizo wanazoringia
Wewe bado degree yako hsijakusaidia.Ukosefu wa ajira unakunyima confidence ya kufikiri vyema.🤣Kwetu ni aibu sana msomi kushiriki Sha jambo la mahusiano wazazi, Yan kwetu wanaamini msomi, hashindwi kitu na ana uwezo wa kupembua mambo,
Yan Kitendo cha kuongelea mahusiano mbele ya wazazi, unaonekana zoba
Kwenye viongozi wa dini maybe!
wewe ni SIMP!!!Kwahiyo mkuu unawajua ladies vyema Sana isn't
Humu JF kuna wavulana wengi yaani vitu simple kama hivyo how a womans brain inafanya kazi mtu hajui ila kazi kushupaza shingo.Wanawake sio watu wa kutumia logic, anaweza kutetea kitu kwa sababu ni mnufaika halafu masilahi ya hicho kitu yasipokuwepo tena anaamia upande mwingine kukipinga, mfano akiwa na miaka 22 atasema anataka wanaume wa miaka 30+ kwa sababu wa age yake sio aize yake. Mwanamke huyo huyo akifika miaka 30 akaona mwanaume wa miaka 30 anadate na mwanamke wa miaka 22 atasema mwanaune uyo anawalenga wanawake wadogo kwa sababu wanadanganyika kirahisi. Kwa kifupi usizingatie sana anachokisema mwanamke, hawa wwnzetu huwa wanaendeshwa na hisia wanazokua nazo kwenye moment husika, na sio logic.
Huyu anaabudu degree wacha aendelee kukutana na MASLAY QUEEN.Yah, most of them hizo ndo kauli zao. Hapo maana yake anataka kwanza agongwe na wanaume kadhaa kisha akimaliza ujana ndo atulie ndani ya ndoa.
Lakini mkuu amini wapo wanawake wengi tu below 25 wapo tayari kuingia ndani ya ndoa.
Huyo jamaa ni SIMP huna haja ya kupotezeana nae muda.Mwanaume hana akili beyond capacity hii ni hatari kwa ustawi wa jamii.Huyo wa 30 unaongea nae nini kwa muda mrefu?
Inategemea na umri wako mkuu kama upo 35+ na tayari una mtoto/watoto unachokiongea kinaweza kuleta maana lakini kwa kijana ambae ndio anaanzisha familia kwa mara ya kwanza mwanamke wa miaka 30+ ni risk ya hatari zaidi, kwa sababu huyu anakuja na emmotional baggage kutokana na heartbreaks za mahusiano yake ya nyuma na possibly kizazi akipo active kwa sababu ya umri kusogea na uwezekano wa kuwa tayari ashafanya abortions au kunywa dawa za uzazi wa mpango. Hata hivyo mwanamke wa miaka 18-20 sio mtoto, huyu kama kalelewa na wazima wake vizuri tayari ana qualifications zote za kuolewa labda tu awe bado mwanafunzi wa sekondari.
Huna akili!!!Mkuu haya mambo hayaeleweki cha msingi mungu kwanza hapa nili
po kuna jirani yangu mzee fulani wakati anaoa na mke wake mke wake ana miaka 17 kipindi yupo bikra hasa mzee miaka 30 cha ajabu watoto wawili amezaa na mwanaume mmoja ndani ya ndoa na huyu mzee na still jamaa bado anamla mpaka leo huyu mama,na mwingine alioa mwanamke ana miaka 25 mwanaume miaka 50 mzee sasa hivi hajiwezi mke wake analiwa na vijana Tu!mkuu acha kugenelize aisee haya mambo hayaeleweki hata kidogo
📌📌📌chapa ilale!!!Vp kuhusu mishangazi
Exceptions zipo mkuu, lakini utakua mjinga ukifanya decision making based on exceptions. Suala la kuoa bikira kinachomaanishwa ni uwezekano wa mwanamke kuwa mtiifu. Mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira ni kiashiria cha maadili mazuri na uwezo mkubwa wa mwanamke uyo kuvishinda vishawishi huyu hamjui mwanaume mwingine zaidi yako kila moment yenu itakua ndio first experience kwake uwezekano wa kuwa mwaminifu ni mkubwa zaidi, ukilinganisha na yule ambae umemkuta ashatumika, kwa sababu huyu bado ana kumbukumbu za maex wake kwaiyo kila moment yenu atakua anakulinganisha nao na obvious hauwezi kuwazidi maex wake kwenye kila kipengere sasa hapo kwenye gap ambayo inakosekana ndipo zinapoanzia hisia za kwenda kuitafuta iyo pleasure nje.
Mwanaume hana menopause. Baba yangu kapata mtoto wake mwingine (sina uhakika kama ni wa mwisho) akiwa na miaka 64. Jikumbushe Reginald Mengi pia.Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Nimepokea mkuu🙏, wala sichukulii kama tusi, nitaimention tu mzee, maana Sina mpango wa kuiombea ajira!Unadegree ila huna akili ya kujua nini unataka bado unaulimbukeni na ndoto za alinacha.Hiyo degree yako ni takataka never ever mention it again kama defensive mechanism ukiwa unafanya arguments.Ukiwa unaitaja unafanya hata degree ulionayo idharaulike maana imeshindwa kukufanya uwe na akili ya kuona mbali zaidi ya pua yako.
Unahisi unahisi sifikiri vyema mkuu kwa kigezo kipi! Au kisa ni boda boda ndo unachukulia poa mkuu🥶Wewe bado degree yako hsijakusaidia.Ukosefu wa ajira unakunyima confidence ya kufikiri vyema.
USHAURI UNATOLEWA NA MWANAMKE KWENYE SWALA LA WANAUME🚮🚮🚮Kwanza kabisa watake radhi wanaume wenzio kwa kusema kwamba nao wanafikia menopause hiyo iko kwa wanawake tu, menopause maana yake ukomo wa hedhi hiyo "men" imetokana na neno menstruation, na hiyo ni biology ya form three kwa mtaala wa bongo sasa wewe mwenzetu sijui kiwango chako cha elimu ni kipi
Pili tukija kwenye uhalisia mabinti wengi wa siku hizi hawako tayari kuolewa katika umri wa early 20s na wengi bikira hutolewa mapema, kwahiyo mnapodanganyana hapa kwamba sijui achaneni na single mothers go for young women sijui ni young women wepi hao mnaowazungumzia, ilihali ndio hao hawako tayari kuolewa at their prime age hadi wafike kwenye 30s sasa hamuoni kama mko too delusional
Ndio maana kila siku tunawaambia tokeni kwenye hizo fantasies mje kwenye reality huwezi kupata wanawake waliojitunza kwenye jamii ambayo hata wanaume wenyewe hawajajitunza na hawako tayari, najua mtasema oo wapo mabinti wanaojitunza lakini je una uhakika idadi yao inawatosheleza wanaume wote wanaotaka kuoa, ndio mwisho wa siku mnajikuta mnaangukia kwa hao hao wanawake mliowachezea maana ninyi wenyewe mnajua virgin women are scarce
Hayo masuala ya zamani na usasa ni ilusions zetu lakini binadamu ni wale wale na bioligical factors zetu ni zile zile.
Mwanaume wa miaka 30 na mwanamke wa miaka 20 iyo ndio psychological na biological gap sahihi kutengeneza bond katika masuala mengi sana.
Miaka 27-30 hapo akili haijapevuka sema hapo tayari ameshachezewa kiasi kwamba hakuna jipya tena kwake. Mwanamke aliepewa malezi mazuri miaka 20 tu tayari akili ishapevuka. Mnatakiwa kutofautisha damaged woman na matured woman
huyu wa 25+ anakuja na vifungu vya sheria🤗🤗🤗Angalau wa 25+ kidogo uhalisia wa maisha kaanza kuuona na kuuelewa.