Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Tunapeana miongozo kama wanaume. Wanawake accountability inawashinda ndio maana ajenda yoyote ya kikao ikawachoma mnatafuta kisingizio kwa kutaka ionekane shida ipo kwa mwanaume. Udange, mbususu ichakazwe, ubaki single mother na trauma zako kibao halafu ateseke mwanaume.! are you normal?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥MPAKA WAELEWE NYUMA VYA MOTO VINAWASHUKIA HATAREEEE😀😀😀😀😀
 
kuna kuachwa, ulioa ukiwa na miaka 30, mke akakuacha, unaibuka tena kuoa ukiwa na miaka 45 unatafuta kuoa tena binti wa miaka 18
Iyo ni situation tofauti, hapa tunalenga vijana ambao ndio wanaanza maisha ya ndoa. Wengi huwa wanaanza hii safari wakiwa late 20's mpaka 30's
 
Kwanza kabisa watake radhi wanaume wenzio kwa kusema kwamba nao wanafikia menopause hiyo iko kwa wanawake tu, menopause maana yake ukomo wa hedhi hiyo "men" imetokana na neno menstruation, na hiyo ni biology ya form three kwa mtaala wa bongo sasa wewe mwenzetu sijui kiwango chako cha elimu ni kipi

Pili tukija kwenye uhalisia mabinti wengi wa siku hizi hawako tayari kuolewa katika umri wa early 20s na wengi bikira hutolewa mapema, kwahiyo mnapodanganyana hapa kwamba sijui achaneni na single mothers go for young women sijui ni young women wepi hao mnaowazungumzia, ilihali ndio hao hawako tayari kuolewa at their prime age hadi wafike kwenye 30s sasa hamuoni kama mko too delusional

Ndio maana kila siku tunawaambia tokeni kwenye hizo fantasies mje kwenye reality huwezi kupata wanawake waliojitunza kwenye jamii ambayo hata wanaume wenyewe hawajajitunza na hawako tayari, najua mtasema oo wapo mabinti wanaojitunza lakini je una uhakika idadi yao inawatosheleza wanaume wote wanaotaka kuoa, ndio mwisho wa siku mnajikuta mnaangukia kwa hao hao wanawake mliowachezea maana ninyi wenyewe mnajua virgin women are scarce
Wapo 20's wanaolewa, kama wewe ni mshangazi wa miaka 30's na hujaolewa ni shauri yako
 
Mleta uzi na supporters wote mtakuja kuwa au mnao pia na watoto wa kike, madada na mashangazi wa damu. Unaposuggest hayo na kusema hayo kuhusu mwanamke inawagusa na hao ndugu zenu pia. This App imekuwa so toxic kwa mwanamke. So many negativities huwezi amini anaandika mwanaume. Umezaliwa na mwanamke pia. Have some respect. Shame!
TULIA HIVYOHIVYO💉💉💉IKUINGIE VIZURI.UNGEKUWA UMEJITUNZA SASAHIVI UNGEKUWA UNAKENUA.ILA KWASABABU KILA UKIVUTA PICHA UNAJIONA KAMA USED TISSUE PAPER/ RETIRED SOLDIER/ MPIGANIA UHURU🤗🤗😂😂😂JUST ENJOY HAYA NDIO MAVUNO YA KUPIGA MISAMBA HOVYOHOVYO KWENYE MAGETO YA WAHUNI.
 
Now najua tatizo lako linaanzia wapi. Learn to heal peacefully bro. Na jifunze kuepuka kufanya generalization ya mambo. Hakunaga jibu moja katika maisha, life is an algebraic equation, hayana format ya 1+1=2. Katika maisha kuna x na y nyingi mno na kila mmoja anazo zake.
📌📌📌wewe ni MPIGANIA UHURU muache masiha asushe INJILI😂😂😂


💉💉💉💉ZINAUMA KWELI ILA HAKUNA NAMNA.MUDA WENU UMEPITA ENJOY THE TROLL!!!
 
Age is not just a number, it's a package of emotional bagagges, trauma and deteriorate vagina.





"Age is not just a number, it's a package of emotional bagagges, trauma and deteriorate vagina."

📌📌📌RETIRED HOES/BED TO BED MIDFILDERS/ VETERANS. SOMENI HIYOOOOOOO🔥🔥🔥🔥🔥
 
Mkuu! Mimi natokea kanda ya ziwa kwenye Kaya kumi, kama Kaya saba mama aliishia darasa la saba, watoto wakijitahidi sana wanaishia form four

Aya kwenye hizo Kaya tatu ndo unakuta maza ana diploma ya nursing, ualimu watoto wanafanikiwa kufika Chuo na wao aidha degree ama diploma,

By the way naunga hoja Hatuoi degree lakini miaka ya karibuni mtoto kukosa elimu ya Chuo, ni jambo la kushangaza, in case uwezo wa kumfikisha hio level inapaswa kwa miaka ya baadae mtu kuwa na degree au masters viwe vitu vya kawaida

And these nawapongeza jiji daslamu degree sio kitu cha kumtishia mtu,
Sasa uhusiano wa degree na hao wamama uko wapi kijana mbona unajimix by nyash???!!!
 
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.

Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.

Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause/andropause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?

Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .

Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+

By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.

Don't be a simp.
Hapo mkuu umezungumzia sex tu. Unaonekana wewe mwenyewe uko 20s Kuna vitu vingi vya umuhumu kwenye maisha ya ndoa kuliko sex, endelea kukua dogo, time is the best teacher.
 
Back
Top Bottom