Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,231
- 3,737
Muanzisha mada ni dogo janja sana.KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Muanzisha mada ni dogo janja sana.KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Kasome "vicious poverty cycle" ndo urejee hapaSasa uhusiano wa degree na hao wamama uko wapi kijana mbona unajimix by nyash???!!!
Kwema ComradeNaam comrade, vipi kwema lakini?
Dogo unasafari ndefu sana.Mwanamke pekee ambaye anakupenda wewe unconditionally ni MAMAKO MZAZI.Mwanamke ukimtongoza au akajitongozesha na ukawa naye kwenye mahusiano, kamwe usije ukaona kama bahati au unanyota jua huyo mwanamke kuna POTENTIAL KAIONA kwako na soon hiyo potential ikiwa haipo utaachwa bila TAARIFA .Nashukuru kwa mawazo mazuri, lakini binafsi nitaumia kukubaliwa na mwanamke kwasababu Nina mali,
Maana ake yeye kapenda vitu sio mtu,
Mara nyingi mtu akikupendea vitu huwa anajali hisia zake, utajijua wewe
uumie usitumie Ila nafsi yake iridhike
Vizuri comrade, niko nasoma kitabu hapa. vipi skills za kupika zime improve?Kwema Comrade
HahahaMuanzisha mada ni dogo janja sana.
Dogo huko chuo ulikuwa huelewi mambo in deep.Kasome "vicious poverty cycle" ndo urejee hapa
Wewe ni mjuaji huna la maana, unaongea, takataka tuDogo unasafari ndefu sana.Mwanamke pekee ambaye anakuoenda wewe unconditionally ni MAMAKO MZAZI.Mwanamke ukimtongoza au akajitongozesha na ukawa naye kwenye mahusiano, kamwe usije ukaona kama bahati au unanyota jua huyo mwanamke kuna POTENTIAL KAIONA kwako na soon hiyo potential ikiwa haipo utaachwa bila TAARIFA .
Kwahiyo usije acha kufanya vitu vya msingi au ukaacha kutake risk maybe kwenda nje ya nchi au chochote kile ambacho kitaweza kuteteresha mahusiano yako na mwanamke.Kwa kufanya hivyo unajiepusha na machozi na vilio wapo waliokiuka hiyo KANUNI ya kimaisha na kimewaramba.
Mwanamke kwa upande wake yeye linapokuja swala la kukuchagua wewe au maslahi yake hatafikiria mara mbilimbili,so kwaanzia leo MIMI KAMA KAKA yako nakusihi jipe kipaumbele wewe kwanza ndio wanawake watafata.
📌📌📌BE SELFISH YANAPOKUJA MASWALA YA MASLAHI YAKO.LINDA SANA PESA YAKO KWA UCHUNGU.USIWE BWEGE WA KUTOA PESA HOVYO KWA WANAWAKE.KUMBUKA KUNA WANAUME WANAPEWA BURE !!!!
Acha kudharau wanawake.kwani hao maajuza wanajua wanataka nini.
Kijana acha kujimix nature ya mwanamke ni kuchanganyikiwa.Hawajaumbiwa shida.Jiepushe na waliokwisha vurugwa maana wao wanachanganyikiwa mara mbili.
Unaona unavokurupuka watoto hufuata namna mama yao alivopita ,Dogo huko chuo ulikuwa huelewi mambo in deep.
📌📌📌Mwanaume ukianza kutegemea akili za mkeo katika kusimamia familia jua umeshafeli.Na mwanamke akijua wewe ni zuzu unamtegemea yeye kama msaada wa mawazo atakudharau!!!!
🤣🤣heri yangu nisiye na akili timamu kwa mujibu wa atrophic brain yako, lakin argument zangu halali hazikiuki kanununi yeyote ya Jf, why should I agree and support your imbecile thinking?📌📌📌Huna akili!!!

Sijazungumzia sex peke ake sema wewe ndio umeona kipengere cha sex tu.Hapo mkuu umezungumzia sex tu. Unaonekana wewe mwenyewe uko 20s Kuna vitu vingi vya umuhumu kwenye maisha ya ndoa kuliko sex, endelea kukua dogo, time is the best teacher.
Asante kwa, kutambua hili haka ka komasavaa ni kapumbafu tu kamoja hivi,🤣🤣heri yangu nisiye na akili timamu kwa mujibu wa atrophic brain yako, lakin argument zangu halali hazikiuki kanununi yeyote ya Jf, why should I agree and support your imbecile thinking?
Tatizo komassavaa unatumia spinal cord kwa critical thinking![]()
Sema chief unajua ku-argue Yani inaleta Ata mzuka wa kuendelea ku-conversateSijazungumzia sex peke ake sema wewe ndio umeona kipengere cha sex tu.
Nimezungumzia pia tofauti ya biological clock kwa mwanaume na mwanamke(rejea suala la menopasue na andropause)
Nimezungumzia pia possibility ya kutengeneza bond kimtazamo na mkeo. Hauwezi kuwa na mtazamo sawa na mwanamke wa 30+ ambaye umemkuta ana miongozo yake kimaisha
Mwanafunzi wa darasa la ngapi ?Miaka 18-23 hao wote ni wanafunzi labda kama unashauri kuoa wale walio kosa fursa kwenye Elimu
Science ya Afya ni Pana sana, ukifanya comparison ya reproductive health Kwa kuzingatia umri ni sawa. Hata ukioa mwanamke wa age 30s bado mipango yako ya uzazi inaweza kwenda sawa.Sijazungumzia sex peke ake sema wewe ndio umeona kipengere cha sex tu.
Nimezungumzia pia tofauti ya biological clock kwa mwanaume na mwanamke(rejea suala la menopasue na andropause)
Nimezungumzia pia possibility ya kutengeneza bond kimtazamo na mkeo. Hauwezi kuwa na mtazamo sawa na mwanamke wa 30+ ambaye umemkuta ana miongozo yake kimaisha
..inaleta mzuka ukivumila comments za wengine hata kama hauzipendi, lakini kumtukana mtu aliye post unfavourable comment ni primitive thinkingSema chief unajua ku-argue Yani inaleta Ata mzuka wa kuendelea ku-conversate
Na Cha ajabu ambacho hajui ,,hawawataki hao wa huo umri huo wanataka wakubwa kwao au wa kuanzia huohuo umriUzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
Suala la ufanisi wa uzazi mwanamke wa 30+ hauwezi kumfananisha na binti wa miaka 18-23. Linapokuja suala la mahusiano ya mwanamke na mwanaume lazima sex itaingia tu kwa sababu iyo ndio moja ya nguzo kuu ya mwingiliano wao. Sex imeingia kama sub topic sio main.Science ya Afya ni Pana sana, ukifanya comparison ya reproductive health Kwa kuzingatia umri ni sawa. Hata ukioa mwanamke wa age 30s bado mipango yako ya uzazi inaweza kwenda sawa.
Issue kubwa hapo ni sex, hiyo ndiyo umelenga, ndiyo maana ukasema ni ngumu kuvumilia kukaa muda mrefu bila kusex. Au nimeelewa vibaya.
Hata ukikuta sio bikara ujue umeoa mke wa mtuVijana mnakosea, kuoa single mom ujue unaoa mke wa mtu. Ukiwa tayari kwa Hilo single mom ni wanawake wazuri Sana.