Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Hujaspecify(we una amini umri sahihi wa mwanaume kuoa ni age ipi?

mimi kwa mtazamo wangu ni 28,-33)
Mwanaume ambaye ataoa kwa mara ya kwanza At age of 34 and above he is almost like going to divorce near in the future.
,
Infact jamii nzima Sasa, inasema kigezo Namba moja cha kuoa ni kuwa na hela, other things follows🥶kwangu mimi naona kama ni bomu tarajiwa

Hapa unajikuta umedumbukia kwa mtu aliekupendea mali kamuacha kipenzi chake ambaye hana fedha hapo maji utaita m'ma
Ujue Binti mbichi kama umemzidi miaka mingi na Hauna kipato Cha kulidhisha hawezi kukubali labda uende kumchukua kijijini tena kwenye familia duni
 
Nashukuru Mkuu kwa kunijisha kuwa mwanaume pia ana undergo menopause. Ila nitaomba unisaidie ufafanuzi menopause ya mwanaume inakuwaje? Je, anakuwa hasimamishi au anakuwa hana access ya ku ejaculate?
Mbegu zinakuwa hazina ubora na uwezo wa kupenya kwenye yai la mwanamke
 
Ndicho kinachofanyika hapa, ukiwaambia wanaume waoe mwanamke bikira automaticaly inapeleka ujumbe kwa wanawake wanatakiwa kujitunza.

Pamoja na kwamba kila upande unatakiwa kufundishwa ili kuzuia matokeo mabovu lakini bado kila upande kuna vipengere ambavyo unakua na nguvu kubwa zaidi katika mchakato wa kuleta hayo matokeo mabovu mfano suala la sex na fertility hapa mwanamke ndie gatekeeper, nothing can happen without woman's consent kwaiyo mkazo unatakiwa kutiliwa zaidi upande wa jinsia KE
Kwaiyo na mwanaume aoe akiwa hajawahi kufanya mapenzi na Kwa huo umri wa miaka 30?
 
Ujue Binti mbichi kama umemzidi miaka mingi na Hauna kipato Cha kulidhisha hawezi kukubali labda uende kumchukua kijijini tena kwenye familia duni
Suala la kipato ni mada nyingine hakuna sehemu nimesema uoe ukiwa masikini, offcourse kwa mwanaume kabla ya kuoa lazima uwe na stable income haijalishi umeoa binti mdogo au veterani wa 30+
 
Suala la kipato ni mada nyingine hakuna sehemu nimesema uoe ukiwa masikini, offcourse kwa mwanaume kabla ya kuoa lazima uwe na stable income haijalishi umeoa binti mdogo au veterani wa 30+
Na umudu pia luxury life na outing za huyo mtoto mdogo
 
Kwaiyo na mwanaume aoe akiwa hajawahi kufanya mapenzi na Kwa huo umri wa miaka 30?
Ukiwa unajitafuta ponea kwanza kwa hao hao street hoes lakini ukijipata na kuamua kuoa iyo sio sample ya kuchagua mke.
 
Na umudu pia luxury life na outing za huyo mtoto mdogo
Sio kila binti wa age iyo ni muumini wa show offs au extravaganza lifestyle. Unaweza kuishi nae kulingana na vile kipato chako kinaruhusu na mkaenda vizuri tu
 
USHAURI UNATOLEWA NA MWANAMKE KWENYE SWALA LA WANAUME🚮🚮🚮
Nafikiri unachanganya mimi sitoi ushauri bali naandika uhalisia uliopo kwenye jamii, huo ushauri endeleeni kupeana wenyewe huku mkijifariji sisi tunawapa makavu tu, hatuko humu kuremberemba maneno ili kuwafurahisha watu
 
Sio kila binti wa age iyo ni muumini wa show offs au extravaganza lifestyle. Unaweza kuishi nae kulingana na vile kipato chako kinaruhusu na mkaenda vizuri tu
Labda atoke mazingira duni kumbuka mabinti huwa wanapenda maisha mazuri kuliko Yale wanayopewa na wazazi weke Bora mtoto mwenzake anaweza kumwelewa na kidogo alichonacho Sasa wewe mtu mzima hatakuelewa kama yeye atakuwa anaona amejitoa kafara kuolewa na mtu mzima aliyemzidi zaidi ya muongo mmoja na bado huyo mtu hawezi kumpa maisha anayoyataka
 
Nimelia sana ukiwa mkubwa na hauna pesa utadharaulika sana 🥶~tundaman
 
Ukiwa unajitafuta ponea kwanza kwa hao hao street hoes lakini ukijipata na kuamua kuoa iyo sio sample ya kuchagua mke.
Sasa assume tunaishi kwenye jamii mnayoitaka ambayo hao street hoes hawapo, kila mwanamke amejitunza anasubiri ndoa, haya tuambie hao wanaume wataponea wapi
 
Wapo 20's wanaolewa, kama wewe ni mshangazi wa miaka 30's na hujaolewa ni shauri yako
Hebu nisome vizuri acha kukurupuka na kuleta makasiriko, ndio maana nikauliza hao wanaoolewa kwenye prime age ni wangapi, ukilinganisha na idadi ya wanaume wanaohitaji kuoa
 
Mimi naandika ukweli, siandiki ili kupata validation kutoka kwako. Maamuzi yako binafsi hayapingani na ukweli kwamba huo ndio umri sahihi wa kumset mkeo akae kwenye mstari kulingana na misingi yako
Ni maoni sio fact hiyo maana huna ushahidi wa hilo.

Hiyo kila mtu ni jinsi anavyoona yupi rahisi kwake kulingana na vipaumbele vyake.
Mahusiano yana mambo meng ya kuzingatiwa. Ndio maana wataalamu wa mambo husema "hayana muongozo"
 
Labda atoke mazingira duni kumbuka mabinti huwa wanapenda maisha mazuri kuliko Yale wanayopewa na wazazi weke Bora mtoto mwenzake anaweza kumwelewa na kidogo alichonacho Sasa wewe mtu mzima hatakuelewa kama yeye atakuwa anaona amejitoa kafara kuolewa na mtu mzima aliyemzidi zaidi ya muongo mmoja na bado huyo mtu hawezi kumpa maisha anayoyataka
Mitazamo tu. Wapo mabinti wa iyo age ambao wanaishi kulingana na ualisia
 
Ninaye binti yangu wa miaka 19 , yaani ndoa bado sana kuihimili, na bahati nzuri yeye mwenyewe yuko very focused kwenye malengo yake ya kujiendeleza..
Kina Natafuta Ajira hawawataki kama hao, wao wanataka zile spicie ambazo kichwani hamna kazi ili wao sasa wazijaze mawazo yao ili wawe kama misukule yao.

Binti msomi wa 24 hata awe bikra hawamuwezi maana anajitambua huyo.
 
Kwenye prime age hawaolew sababu wao large expectations kama ulizokuwa nazo wewe
Na hapo ndipo ilipo hoja yangu kwamba kama mnajua mabinti wengi hawaolewi kwenye prime age kwa sababu wana so called large expectations, sasa mnaposema mkitaka kuoa muoe hao kwanini mnaassume kama vile kuwapata hao ni rahisi na kwamba wanakubali kuolewa kirahisi tu, ilihali mnajua kwamba mabinti wengi huanza kuhitaji na kutafuta ndoa wakiwa kuanzia kwenye later 20s au early 30s huko
 
Ningependa kujua kama alietoa ushauri huu kaoa? Ulioa binti miaka hiyo? Unazoefu kwenye ndoa kwa mda gani? Mimi nilioa rafiki yangu wa mda mrefu niliyemzidi 1 year sijawahi kukutana na mtu mwenye kunipa amani kama yeye mwaka wangu wa 6 ndoani na makids
Mwaka WA SITA ndoani nguvu ya kucomment unaitoa wapi?,subiri afike miaka 45 nawe uwe na miaka 46,.......kipindi hiko wenye miaka 46 kama wewe vijana wanamilimiki watoto wa maana lower 30,wewe unaangaika na bibi kizee wako
 
Back
Top Bottom